Alshabaab wahamisha goli kwanini walivamia, wasema kero yao kwa sasa ni Trump kuitambua Jerusalem

Hakuna cha Jerusalem wala nini? Lengo ni kumtaka Uhuru Kenyatta kuondoa KDF uko Somalia hili la Jerusalem ni coincidence tu kujaribu kumtishia US....Kwanza kabisa Kenya lazima ijue KDF kuendelea kujiingiza kwenye Mambo ya Somalia haitasaidia kuzuia Alshabab waishe lazima tujue Alshabab ni ideology kundi ni watu tu wengine ni militants wengine tuna mingle nao makazini km Raia wakawaida tu hivyo wapo ndani ya Kenya na wapo Somalia...Hizi misaada ya US kwa Kenya ya kijeshi nadhani wakenya hawajui lengo ni kukalia Kenya kijeshi na Somalia uku aki prolong Crisis sawa kabisa na anachokifanya uko Syria yani hataki majeshi ya Assad ya Syria kushinda hivyo kukalia maeneo kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,

Kwanza ungejaribu kuchunguza ownership ya hio hotel au ni akina nani nyeti walikuwa wame-book hapo siku ya hilo tulikio la kigaidi.

Mara nyingi magaidi huwa wanachagua targets zao kwa malengo maalum ili kufikisha ujumbe waotaka kwa wahusika in the most frightening way. Akina yakhe tusohusika tunaokutwa hapo siku ya tukio hua ndio kama mbuzi wa kafara/collateral damage....
 
You're smart, it doesn't make sense, wangevamia balozi ya us basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaogopa Marekani wanajua watafinywa makend*. Wamedhani sisi ndio wanyonge wakaamua kutulemea. Hata hivyo kila mmoja wao amefunguliwa ubongo, umeona picha? Kichwa yao imefunguliwa na ubongo kumwagika nje. Hapan cheza na Kenya.
 

Nimecheka hapo pa akina yakhe, ila kama Alshabaab wana haja ya kuwaua Wakenya wengi, wangekuja huku kitaani tulipo, lakini nia yao kubwa ni kutafuta kiki za kimataifa wasikike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…