Alshabaab wajilipua ndani ya mgahawa wa chakula kwenye huu mwezi wa ramadhan

Inakuaje wanaua wenzao wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani!!!
 
mashababi yafie huko tu!!, elders tukuleni [HASHTAG]#word[/HASHTAG] kidogo
SIGNS ZA KUNYIMWA
1. ukihappen kulala kwa dem alafu alale na jeans, brathe toka uende kwako
2.kabla mulale then atoe Bible ama akuambie muombe kabla mlale, boss utakauka, enda kwako
3.mkilala akutandikia ile mattress imechapa chini
ulale, dada ya kunguni wewe kwani kwako hujalipa rent, enda kwako
4.akikuambia usimguze ama kumuekelea mguu, mjinga hii ushanyimwa, toka na usiwai rudi
5.akikuambia atakupeleka ulale kwa neighbor boy, we ni ule msee, ni late lakini enda kwako
6.boy wake akimcall waongee two hours mkiwa
bed, i swear uezi pewa, fisi wewe tembea
7.akichukua pad aende bathroom kuchange, nugu
hii unangoja confirmation letter ama, nkt!!
8.ukimshika mara ya kwanza akwambie atakufukuza,
unangoja nini ng'ombe ya museveni, kimbiaaaaaaa
9.akikupea blanketi yako ajifunike bedsheet, kua
gentleman mpee blanketi na utoke, kondoo wewe
10.ukimdara alafu akuambie
'hunijui wewe' na ni mkamba, brathe utakwama ndani, penda miti na roho yako yote!
Kiswahili gani hicho ww ...!!!!!!!
 
somalia is a failed state...no hope..too bad we share a border with it...

If you are a Kenyan put your record straight, you do not only "share a border" with Somalia. You have a population of around 20% ethnic Somali Kenyans in Kenya.

Not refugees, mind you.

Somalia is part and parcel of Kenya ether by its people or simply by embarkment.
 
Jay254 is talking about the Alshbb,not the Somalis. It is wrong to characterize all Somlis as terrorists.

And in Kenya, they comprise 6% of the total population, not 20%.
They are the 7th largest ethnic group in Kenya, and we accept them as part and percel of our society.
 
Do not be stupid.

He/she is talking about "border". Do you border with Al shabab or Somalia?

Shabab are simply made in USA I am not even surprised to hear about them.

Soon Hollywood will decide the name Al Shabab does not sell and they will come up with a new name. Remember Al Qaeda? Do you hear about it now a days? The trend now is ISIS.
 
No...do not be stupid....so now you can read people's minds and know what they mean? ofcourse we have many somalis living in our country...there are many of them in Nairobi...wana chapa biashara kwel kwel...ila huwezi ukawaskia wamejilipua ktk hoteli flani ama wamelipua kanisa mahal flan...wale shabaab ndio huwa wanapita mpaka (border) na kuja kulipua sehemu mbali mbali za kenya...kwa hiyo tunamaanisha somali shababi...ingekuwa ni somalis wote basi tungekuwa tumeanza vita nao tayari humu nchini...wakenya huwa hatupendi ujinga...
 
If you are a Kenyan put your record straight, you do not only "share a border" with Somalia. You have a population of around 20% ethnic Somali Kenyans in Kenya.

Not refugees, mind you.

Somalia is part and parcel of Kenya ether by its people or simply by embarkment.
madam...all this u are saying I know...I live in Kenya..I have been to Eastleigh...I see at least one Somali everyday in my neighborhood...mbona huwa si bishani nao? hawa ni somali wakenya na hawana huo upuuzi wa kujilipua lipua ovyo ovyo...nia yao kubwa humu nchini ni biashara na amani...alafu hizo 20% sijui katoa wapi...finally, Somali as a country is not part and parcel of Kenya just like Tanzania is not part and parcel of Kenya...on the contrary, it is the Kenyan Somalis plus the Somali refugees in North Eastern Kenya who are part and parcel of Kenya...but only on a temporary basis since mny have already applied for visas to Europe and Australia...infact kama si Trump, rafiki yangu mrwanda na wasomali wengine wangekua USA sasa hivi...sasa ni wewe ndio u set ur records straight...unalolijua kuhusu Kenya ni kama one drop in the ocean ukilinganisha na ninalojua kuhusu nchi yangu...hivyo, huwezi ukanifunza kuhusu Somali wa asili ya kikenya..
 
Tatizo huelewi kuwa Al Shabab walitengenezwa na hao hao mabwana zenu wa kizungu ili muwe watumwa wao daima na wawatumie kwa kuuana na Wasomali huku wao wanachota utajiri wenu kiulaini.

Haujuwi kuwa Kenya na Somalia kuna mafuta?

Kama hamjatandikana wazungu watawauzia nini? Magari siku hizi ni Japan, vitu vingine China. Wao watapata nini? Fikiri.
 
Sawa, hajalishi Alshbb waliundwa na nani, hata kama ni Kenya (btw, kuna some conspiracy theorists wanasema Alshbb iliundwa na Kenya na Ethiopia ili ku- make Somalia ungovernable, then they partition the country betwn themselves), bora tu hao terrorists wasilete huo upuzi wa kulipuana hapa vile walianza huko Eastleigh.
 
Tatizo huelewi kuwa Al Shabab walitengenezwa na hao hao mabwana zenu wa kizungu ili muwe watumwa wao daima na wawatumie kwa kuuana na Wasomali huku wao wanachota utajiri wenu kiulaini.

Haujuwi kuwa Kenya na Somalia kuna mafuta?

Kama hamjatandikana wazungu watawauzia nini? Magari siku hizi ni Japan, vitu vingine China. Wao watapata nini? Fikiri.
by the way ukona pointi nzuri...alshabaab wanaeza kuwa ni product ya wazungu kwani sijawahi elewa ni nani anawa finance hawa magaidi na ni kwanini Obama alikuwa na a very soft stand in relation to Somalia...yaani bado nchi za afrika tunaeza kuwa tuko colonized bado...wazingu wanataka market za bidhaa zao...ila wana fahamu kuwa nchi za kiafrika zikiendelea kiuchumi, hazitahitaji bidhaa zile kwani zitakuwa na uwezo wa kujitengenezea...samahani nimekuelewa ila inabidi tuwe makini kwani kuna tofauti kati ya somali wa naoishi kenya na alshabaab...in fact kuna wasomali ambao hawajawahi kuishi kenya ila hawana nia ya kuwa magaidi...alafu, USAID, UKAID, and other forms of aid on african countries are aimed at controlling african consumption and African markets...ndio maana lile jambo la EPA halifai kukubaliwa kamwe...wanajifanya wanatusaidia ila wanajua kuwa watabenefit kwa mkataba huo kutuliko sisi...
 
Stop it! The Alshbb was not founded, nor is it funded by the US.
The Obama administration was not directly involved in the fight against the Alshbb for the same reasons that it withdrew the US troops from Iraq and Afghanistan.

The claims that these lethal islamic militant groups were created and funded by the US arr very cheeky propaganda attempts by the likes of Russia and Iran to blacken the US and the west's reputation.
 
Back
Top Bottom