rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Kwani Saudi ndio iko kama wao? Mbona huko kila mwenye Dini yake habughudhiwi na anaingia kama kawaida wakiwemo watalii? Na kuna mahoteli ya wageni n.k, wao alshabaab wanachotaka ni utajiri tu kwa kutumia waislam waliokuwa brainwashed wakiamini wanamtumikia Mungu kumbe shetani. Kutwa wanakatana shingo tu, hata wanachotaka hakieleweki!Wanataka kuifanya Somalia iwe kama SAUDI ARABIA TOTAL SHARIA LAW ON ALL PEOPLE IN SOMALIA...