MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Kama mnajua yote hayo basi SHUT UP and FIGHT siyo kulalama jinsi vita ya ugaidi ilivyo ngumu.
Hamna mtu amelalamika, na kama ni kulalamika basi sio kwa nyie maana hamna uwezo wa kusaidia. Vita kama hivi vinahitaji raslimali na akili nyingi, hivyo tukihitaji msaada hatuwezi kuja kwa maskini kama nyie maana mtatuchelewesha, hii ni ligi tofauti, inahitaji ujuzi wa kisasa, vifaa vya kisasa na sio upasuaji wa matofari kama mfanyavyo.