Hamna mtu amelalamika, na kama ni kulalamika basi sio kwa nyie maana hamna uwezo wa kusaidia. Vita kama hivi vinahitaji raslimali na akili nyingi, hivyo tukihitaji msaada hatuwezi kuja kwa maskini kama nyie maana mtatuchelewesha, hii ni ligi tofauti, inahitaji ujuzi wa kisasa, vifaa vya kisasa na sio upasuaji wa matofari kama mfanyavyo.