Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Nimesema mara mingi sana police na army ya kenya ni hafifu Sana. Mara ngapi wamefumaniwa? Sasa angalia Usiku wa kuamkia leo mivivu ilikua imelala inang'orota, haina ratiba ya kulinda ndoria. Useless waste of taxpayers money