Alshakhum si matusi, huu ni mtori tu, nyama utazikuta chini. Tiririka na thread

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mashati, blauzi,magauni, sketi na nguo nyingine, zinapoisha tunazigeuza kuwa madekio . Chupi zikiisha twazifanyia Nini?
Sidiria twazigeuza kuwa barakoa, hata soksi 😷😷😷😷😷.
Chupi sasa.....
 
Nawe ni miongoni mwao wavaao sidiria? Aka tanganyika jeki😁
(nimepita mulemule kwenye sentesi yako)😁😁
 
Nikichangia Mimi hapa napigwa BAN..😎
 
Back
Top Bottom