Alternative für Deutschland, AfD, ikishinda uchaguzi wa Ujerumani Jumapili, Muslim Brotherhood wajue Mwisho wao Umewadia

We ndio unawapenda hao mabwege wenzio ulowataja
 
Siasa za Ujerumani ni ngumu sana kuzielewa.
But all in all, Siasa kali za unazi za mrengo wa kulia bado zinaogopwa Sana nchini Ujerumani. Zimwi la Dikteta Adolf Hitler, Dikteta Benito Mussolini na Dikteta Stallin bado linawatesa sana Watu wa

Yote haya yanasababishwa na mambo ya hovyo ya hawa wahamiaji, kuanzia waarabu ,waafrika na walatino
 
Sasa nini lengo la hizi platforms au ni kuongelea miziki ya Diamond?
Binafsi jaribu kuheshimu watu wanachokiamini ,mambo mengine ni madogo madogo.

Umemuona yule aliykuwa anachoma Qur an kila muda ? Yuko wapi sasa?
 
Binafsi jaribu kuheshimu watu wanachokiamini ,mambo mengine ni madogo madogo.

Umemuona yule aliykuwa anachoma Qur an kila muda ? Yuko wapi sasa?
Ninaamini kwenye free speech siogopi kusema kile ninachokifikiri kifo kitakuja ti hata nikinyamaza.
 
Free speech nyuma ya keyboard?😅😅sasa mengine hayakuhusu.
Sasa ulitaka niongelee wapi wakati mimi Dereva kila siku niko Barabarani na misimamo yangu hata huku uraiani watu huwa wanaijua na wengine huwa wanakasirika lakini maisha yanaenda.
 
Sasa ulitaka niongelee wapi wakati mimi Dereva kila siku niko Barabarani na misimamo yangu hata huku uraiani watu huwa wanaijua na wengine huwa wanakasirika lakini maisha yanaenda.
😅😅
 
Dunia inapitia mchakato mkubwa wa mabadiliko. Si ajabu kuona afd ikishinda. Sijajua kwetu tz itakuwaje maana naona wakubwa wanazidi kulazimisha maji kupanda mlima.
Karne zote nusu ya kwanza ya kila karne huwa ni amsha amsha. Mambo huja kutulia nusu ya pili.
 
Hii ni definition na matokeo ya mwisho ya Ufashist, mwanzo wa Ufashist ni kama Siasa za Lissu na Makonda.

Wananchi au Kundi Ndio huwa linataka viongozi authoritarian kwa kikegozo kuwa Serikali au Taasisi imekuwa dhaifu kiutendaji, hapo Ndio huitajika Kiongozi (Mwenye ujasiri) ambaye Watu huamini watafanya kazi kama Fungu la Fimbo(Bundle of sticks)/Fasci.

Idea ya maneno ya Tanzania tunatoka Rais dikteta yalikuwa ya Lissu au Chadema yote?

Tofauti ya Makonda na Lissu kwenye karama, Makonda ameandaliwa kwenye Administrative roles, Lissu ameandaliwa kwenye legal issues, ni suala la muda Lissu ataactivate vikundi vya vijana kama militias.

Soma hii page Hadi mwisho
 
Huwa nawashangaa waafrika wanashobokea mafashisti ya kizungu kama Trump, Elon Mask, Netanyahu, Putin, AfD, Marie La Pen N.K

Ni kukosa elimu.
Ufashist unahusishwa na Hitler Ndio maana unaonekana na mbaya, but Jamie zote at one stage huwa zina practice Ufashist.

Hata Lissu, Makonda, Magufuli ni Wafashisti
 
Idea ya maneno ya Tanzania tunatoka Rais dikteta yalikuwa ya Lissu au Chadema yote
Nadhani lengo lilikuwa ni kwamba Raisi Mkali atakayezuia wizi na upigaji Serikalini na sio Dikteta one man show Alfa na Omega.
 
Hao waarabu inafaa wafukuzwe tu warudi makwao utawalazimishaje watu wafuate utamaduni wako wakati hapa duniani kila jamii ina utamaduni wake unaotofautiana na wa jamii zingine na ndivyo Mungu alivyoweka kulingana na settings zake.
Kwani hao waarabu si walipokelewa na Serikali ya Germany kwa mikono 2,baada ya kuona nguvu kazi inakwisha.
 
Inatakiwa na bibi Marie le pen ashike uskani huku ufaransa
 
Hii sera ni nzuri, huwezi kuruhusu watu kubadili utamaduni wa nchi bila sababu za msingi. Nchi walizokimbia kwa sasa hazina vita, hivyo warudi.
 
Punguza kuokota propaganda za wanaochukia uislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…