nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
We ndio unawapenda hao mabwege wenzio ulowatajaUfashisti ulikuwa mbaya sababu ya Hitler, ila Jamii yenywewe hupenda viongozi wenye asili ya Ufashisti.
mfano hapata Tanzania Lissu na Makonda wanapendwa sana sababu wana mchanganyiko wa Ufashisti.
Ufashisti kwa tafsiri nyingine ni Undugu/Brotherhood