stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Nadhani lengo lilikuwa ni kwamba Raisi Mkali atakayezuia wizi na upigaji Serikalini na sio Dikteta one man show Alfa na Omega.
Baada ya njama za Islamists zikibeba maono ya Muslim brotherhood kupamba moto tokea Hamas wavamie Israel October 7, 2023 tukashuhudia pia kuibuka kwa siasa za mrengo wa kulia huko Ulaya.
Reform Uk, Alternative für Deutschland, AfD, National Rally (France), Victor Oban Hungari, Geert Wilders (Holland), Freedom Party of Austria. Mpaka sasa bado Wasosialisti wa Ulaya bado wamefanikiwa kuwadanganya wananchi wao wasiviingize madarakani vyama hivi.
Lakini matukio ya karibuni ya kuingia madarakani Trump na kuongezeka kwa vitendo vya kikatili huko ulaya vinavyofanywa na wahamiaji islamists vimewazindua akili wazungu.
Wahamiaji hawa kwa kiasi kikubwa imekuwa ni Sera za Wasosialisti hao wakiwa madarakani, kubwa ili waendelee kupata mtaji wa wapiga kura.
Sasa kimeumana. Tunasubiri hiyo domino ya kwanza Ujerumani kuanguka
Andika hapa PK ni dictator.Ninaamini kwenye free speech siogopi kusema kile ninachokifikiri kifo kitakuja ti hata nikinyamaza.
Bora kwenye zama za ufashisti ulikuwa unawasikia magaidi kama hawa washenzi washenzi na ufisadi kama huu wa kishenzi Shenzi.....Au Dunia inarudi kwenye zama za Ufashisti?!
Hizi shule za kata,zinawaamsha vijana!Kwa kwetu TZ kwakweli ni jambo lisilowezekana maana wananchi wenyewe tu waoga mno mkuu, uthubutu huo hatuano hata.
Haiko sahihi!Huwa nawashangaa waafrika wanashobokea mafashisti ya kizungu kama Trump, Elon Mask, Netanyahu, Putin, AfD, Marie La Pen N.K
Ni kukosa elimu.
Dini ya Uislamu na waislamu wanakwenda kupitia kipindi kigumu kuliko vyote toka kuwepo wa hiyo dini hata hapa tz itakuwa hivyo kwa sababu ya samia na kikwete ....siku zinakuja waislamu watapata haki yao ya kutengwa mbali na uongozi wa nchi na hayo yatakuwa ni matunda ya kinacho fanywa sasa na kikwete na samia na kushabikiwa na mashekh maandazi bila ya kuona mbali.Kwa Dunia unavyoenda sasa, na uwepo wa mafundisho ya kishetani ndani ya baadhi ya makundi ya kiislam, kuna hatari, baadhi ya mataifa ya kuzuia kabisa wahamiaji toka nchi za kiarabu.
Msirumbane,toeni hoja za moyoni!Sasa ulitaka niongelee wapi wakati mimi Dereva kila siku niko Barabarani na misimamo yangu hata huku uraiani watu huwa wanaijua na wengine huwa wanakasirika lakini maisha yanaenda.
Umenena vyema dunia imeingia kwenye muda mwingine ambapo lazima dunia ifuate yaliyo kwenye timeline ya aliyeiumba, kwa hiyo kuna mabadiliko makubwa yameanza kutokea na yataendekea kutokea na hata Tz lazima yatokee.Dunia inapitia mchakato mkubwa wa mabadiliko. Si ajabu kuona afd ikishinda. Sijajua kwetu tz itakuwaje maana naona wakubwa wanazidi kulazimisha maji kupanda mlima.
Hatuhitaji Ufashisti hatuhitaji Radical Islam hatuhitaji Extremists.Bora kwenye zama za ufashisti ulikuwa unawasikia magaidi kama hawa washenzi washenzi na ufisadi kama huu wa kishenzi Shenzi.....