Alternative für Deutschland, AfD, ikishinda uchaguzi wa Ujerumani Jumapili, Muslim Brotherhood wajue Mwisho wao Umewadia

Alternative für Deutschland, AfD, ikishinda uchaguzi wa Ujerumani Jumapili, Muslim Brotherhood wajue Mwisho wao Umewadia

Hao wazungu wenyewe ndio wanazichafua nchi za watu na kufanya wakimbilie huko kwao. Wanazivuruga nchi kiaskari yaani vita, kisiasa na kiuchumi kwenye vikwazo, kijamii kuwavuruga akili.
Wakimbizi wote wanataka kwenda Europe kutoka Africa, Asia, na latin Amerika wasaidiwe mpaka waingie ulaya mpaka Hawa kenge wanyooke waache uchaguzi wao.
Road to freedom, justice and dignity is not lined with bed of roses but thorns ana obstacles to be concuered by brave selfless freedom fighters
 
Baada ya njama za Islamists zikibeba maono ya Muslim brotherhood kupamba moto tokea Hamas wavamie Israel October 7, 2023 tukashuhudia pia kuibuka kwa siasa za mrengo wa kulia huko Ulaya.

Reform Uk, Alternative für Deutschland, AfD, National Rally (France), Victor Oban Hungari, Geert Wilders (Holland), Freedom Party of Austria. Mpaka sasa bado Wasosialisti wa Ulaya bado wamefanikiwa kuwadanganya wananchi wao wasiviingize madarakani vyama hivi.

Lakini matukio ya karibuni ya kuingia madarakani Trump na kuongezeka kwa vitendo vya kikatili huko ulaya vinavyofanywa na wahamiaji islamists vimewazindua akili wazungu.

Wahamiaji hawa kwa kiasi kikubwa imekuwa ni Sera za Wasosialisti hao wakiwa madarakani, kubwa ili waendelee kupata mtaji wa wapiga kura.

Sasa kimeumana. Tunasubiri hiyo domino ya kwanza Ujerumani kuanguka


View: https://www.youtube.com/watch?v=pMECi3OLac0&t=5s&pp=ygUncmFiYmkgbWl6cmFjaGkgb24gY2hyaXN0aWFucyBhcmUgbW9yb25z
 
Kwa Dunia unavyoenda sasa, na uwepo wa mafundisho ya kishetani ndani ya baadhi ya makundi ya kiislam, kuna hatari, baadhi ya mataifa ya kuzuia kabisa wahamiaji toka nchi za kiarabu.
 
Kwa Dunia unavyoenda sasa, na uwepo wa mafundisho ya kishetani ndani ya baadhi ya makundi ya kiislam, kuna hatari, baadhi ya mataifa ya kuzuia kabisa wahamiaji toka nchi za kiarabu.
Dini ya Uislamu na waislamu wanakwenda kupitia kipindi kigumu kuliko vyote toka kuwepo wa hiyo dini hata hapa tz itakuwa hivyo kwa sababu ya samia na kikwete ....siku zinakuja waislamu watapata haki yao ya kutengwa mbali na uongozi wa nchi na hayo yatakuwa ni matunda ya kinacho fanywa sasa na kikwete na samia na kushabikiwa na mashekh maandazi bila ya kuona mbali.
 
Sasa ulitaka niongelee wapi wakati mimi Dereva kila siku niko Barabarani na misimamo yangu hata huku uraiani watu huwa wanaijua na wengine huwa wanakasirika lakini maisha yanaenda.
Msirumbane,toeni hoja za moyoni!
 
Dunia inapitia mchakato mkubwa wa mabadiliko. Si ajabu kuona afd ikishinda. Sijajua kwetu tz itakuwaje maana naona wakubwa wanazidi kulazimisha maji kupanda mlima.
Umenena vyema dunia imeingia kwenye muda mwingine ambapo lazima dunia ifuate yaliyo kwenye timeline ya aliyeiumba, kwa hiyo kuna mabadiliko makubwa yameanza kutokea na yataendekea kutokea na hata Tz lazima yatokee.
 
Bora kwenye zama za ufashisti ulikuwa unawasikia magaidi kama hawa washenzi washenzi na ufisadi kama huu wa kishenzi Shenzi.....
Hatuhitaji Ufashisti hatuhitaji Radical Islam hatuhitaji Extremists.
 
Back
Top Bottom