Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari za wakati huu.
Mambo yanabadilika kutoka mda na mda mfano mzuri Jambo forum na kuwa Jamiiforum. Na mabadiliko mengi ila hili neno "mkuu" limegoma kubadilika zaidi ya kuwa na wingi tu(Wakuu)
Neno Mkuu limekuwa sugu korofi na bishi kubadilika japo muda mrefu umepita. Hata katiba za nchi zinabadilika si hivyo tu hata sura yako pia inabadilika neno mkuu lina nini. Kwanini liwe king'ang'anizi kama limezaliwa jana.
Haya hapa kama wewe ndio umepewa nafasi ya kuleta alternative ya mkuu ungeleta neno gani litumike mbadala wa neno mkuu.