Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay kwa umri huo we nunua tu hiyo altezza na upige misele japo ulipaswa uwe na gari nyingine halafu hiyo Altezza ungeinunua kwa ajili ya hiyo michezo pakee sababu gari unayoitumia kwenye shughuli zako za kila siku haipaswi kuwa ya kuchezea.nashukuru sana
25 kaka
okay shukrani sana brotherOkay kwa umri huo we nunua tu hiyo altezza na upige misele japo ulipaswa uwe na gari nyingine halafu hiyo Altezza ungeinunua kwa ajili ya hiyo michezo pakee sababu gari unayoitumia kwenye shughuli zako za kila siku haipaswi kuwa ya kuchezea.
Kuna jamaa yangu anakuwa nazo anauza mpaka 2.5m na 3mYeah..naona soko lake liko chini, ila ni gari kali sanaaaa, hasa kwa vijana
Unataka yenye Engine gani 1g-vvti (6 cylinder) au 3s-ge (4 cylinder )Nitafutie
sawa kaka... shukrani sana 🙏Kila la heri ila kwa second hand hapa Bongo huwezi kupata hiyo millage,, nyingi zimetembelewa zaidi ya miaka 15 Bongo na registration ya nyingi ni Cxx, hivyo tayari zinashida za Engine na Gearbox ila ukitulia unaweza pata chuma nzuri kikubwa upate fundi mtaalamu wa kukagua chuma.
Asante kwa taarifa.Alteza yenye 4 cylinder ndiyo zina nguvu zaidi pia zinakula mafuta zaidi kuliko 6 cylinder.
Mtoa mada yupo Sahihi ingawa amekosea kasema 6 cylinder ndiyo engine ndogo ..... kumbuka alteza zinafanya vizuri sokoni ni hizo 4 cylinder yaani imeizidi Kwa kilakitu hiyo nyingine
Hii drifting unaenda kuifanyia wapi mkuu?, Gari ina miaka karibu 25 tangu itengenezwe, unataka kununua used tena used ule mtumba wenyewe si matairi yataruka, geabox ichomoke ikaue wasio na hatia? Kuwa na huruma boss.samahn, mkuu hivi ni kweli teza yenye 6 cylinder sio rafiki kufanya drifting ukilinganisha na ile yenye engine kubwa ya 4 cylinder?
4 cylinder bosUnataka yenye Engine gani 1g-vvti (6 cylinder) au 3s-ge (4 cylinder )
Na hujawai kudrift?ni kitu ambacho kinanivutia sana, navyowaona turning gang., team tezza wakidrift nimetokea kupenda, nahisi ni hobby yangu mkuu,..na kuna jamaa wa hapa mbeya-soweto, steve_techn amekua akiniinspire sana kumiliki alteza
Bila shaka imekuvutia zaidi kwa sababu ya driftingndio mkuu sijawahi drifting...dream car ni bmw m5 F90
Kwa barabara zetu hizi hizi na gari ilivyo chini si unajitaftia kifo.Yeah..pamoja na speed