ALTEZZA VS PREMIO vs RUN X or ALLEX

Wese andaa laki nne pamoja na weekend kula bata service ni oil na filter tu kwenye laki moja pamoja na ufundi ambao unakuwaga elfu kumi ishu nyingine ni mataili ambayo utabadili kila baada ya miaka mitatu
Mkuu laki nne kwa wiki au kwa mwezi?
 
Sawa Boss wangu nmekuelewa. Shukrani sana
 
eti mchanga na mm nataka ya kwenda kula xmass moshi
 
Nunua Toyota Premio
Model NZT240
Engine Model : 1NZ
1490cc Vvti...
Raha mstarehe...
Itakufaa kwa Town trip hata Safari ndefu..
Ni saloon au sedan
Bootspace kubwa hata kwa mzigo midogo midogo up to 200kg
Ina nguvu na speed na mafuta inatumia vizuri...
Allex/Runx pia ni nzuri sababu Engine model zinashare na premio.
Ila Premio ni nzuri zaidi...
Hutajutia..
 
Kitu altezza unaweza kaa nayo miaka na miaka bila kuchakaa
 
ha ha ha ha ha ha utakua upepo wa same hata noha ukizubaa unatupwa nalo pale so lazima ufate masharti ya kutembea spindi 50
 
Ni kweli mkuu ajali ni ajali tuu hata ukiwa kwenye ndege
runx ni gari nzuri sana still naipenda kwa mishe za mjini ziko poa sana..kwa trip za mkoani masafa marefu siyo salama sana due to wepesi wake
Runx gari nzuri..ipo comfortable na ina space..kwa town trip i can recommend..fuel consumption iko vzr na spare zake rahis kupatikana
 
[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ongelea na subaru impreza w 2008
 
We Mjamaa sio kabisa..
Ndio nini sasa[emoji35] [emoji35]
 
tofauti ya premio na allion ni nini. ipi bomba zaidi?
 
Premio iko luxury zaidi kuliko zote na fuel consumption ndogo itafanya iuzike kirahisi
 
Kwahyo Mkuu RUNX chini ya Km 100,000 inaweza kuwa bei gani kuagiza through beforward ama wengine kama hao, na Altezza nayo itakuwa kiasi gani.
Mimi niliagiza Allex mwaka jana, hadi naiweka barabarani ilifika roughly 12.5 M (30,000 km ya mwaka 2005), ila ya mwaka 2001-2003 unaweza ipata hata hata kwa 11 M
 
Allex sio yebo?premio ziko version 3....mm natumia 1500 cc...km allex tu....!!ila confortability n nzur kuliko allex..allex ukifikisha 120 speed gar inakuwa nyepec htar lkn premio habar nyngne....
 
A

Ahsante Kamanda, vipi kuhusu service huwa inacost how much? na wese budget yake ya wiki kwa mizunguko ya kimara posta itacost how much roughly???
Service inategemea na ww unataka genuine vifaa au unataka vya kawaida...mm mfano oil nnayotumia n ya 7000 km inacost around 120000...so roughly 150 k inatosha...ila inategemea na oil....kuhusu umbal...ushaambiwa km...calculate mwenyewe bro
 
Unaweza weka picha ya hiyo premio 2016?bei yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…