ALTEZZA VS PREMIO vs RUN X or ALLEX

ALTEZZA VS PREMIO vs RUN X or ALLEX

Wese andaa laki nne pamoja na weekend kula bata service ni oil na filter tu kwenye laki moja pamoja na ufundi ambao unakuwaga elfu kumi ishu nyingine ni mataili ambayo utabadili kila baada ya miaka mitatu
Mkuu laki nne kwa wiki au kwa mwezi?
 
Runx kuagiza mil.11- 13 , bei pia hutegemeana na mwaka but ita-range humo!
Altezza pia inategemeana na ya mwaka gani, but ita-range mil.10 - 13 kulingana na condition ya gari+mwaka. we budget andaa mil.13 hapo waweza Baki na chenji kwa ajili ya kui-pimp
Sawa Boss wangu nmekuelewa. Shukrani sana
 
Daa acha tuu mkuu ile gari nyepesi kimtindo nilienda nayo mkoa sikua na mzigo abiria nilikua peke yangu tuu usiombe upite sehemu zenye upepo mkali ndugu unatupwa kama karatasi vile
nb:nashauri kama unatumia gar ndogo mfano runx kwenda nayo mkoani beba hata mchanga kwenye buti gari iwe nzito kuepusha ajali
eti mchanga na mm nataka ya kwenda kula xmass moshi
 
Nunua Toyota Premio
Model NZT240
Engine Model : 1NZ
1490cc Vvti...
Raha mstarehe...
Itakufaa kwa Town trip hata Safari ndefu..
Ni saloon au sedan
Bootspace kubwa hata kwa mzigo midogo midogo up to 200kg
Ina nguvu na speed na mafuta inatumia vizuri...
Allex/Runx pia ni nzuri sababu Engine model zinashare na premio.
Ila Premio ni nzuri zaidi...
Hutajutia..
 
Kitu altezza unaweza kaa nayo miaka na miaka bila kuchakaa
 
Daa acha tuu mkuu ile gari nyepesi kimtindo nilienda nayo mkoa sikua na mzigo abiria nilikua peke yangu tuu usiombe upite sehemu zenye upepo mkali ndugu unatupwa kama karatasi vile
nb:nashauri kama unatumia gar ndogo mfano runx kwenda nayo mkoani beba hata mchanga kwenye buti gari iwe nzito kuepusha ajali
ha ha ha ha ha ha utakua upepo wa same hata noha ukizubaa unatupwa nalo pale so lazima ufate masharti ya kutembea spindi 50
 
Ni kweli mkuu ajali ni ajali tuu hata ukiwa kwenye ndege
runx ni gari nzuri sana still naipenda kwa mishe za mjini ziko poa sana..kwa trip za mkoani masafa marefu siyo salama sana due to wepesi wake
Runx gari nzuri..ipo comfortable na ina space..kwa town trip i can recommend..fuel consumption iko vzr na spare zake rahis kupatikana
 
Daa acha tuu mkuu ile gari nyepesi kimtindo nilienda nayo mkoa sikua na mzigo abiria nilikua peke yangu tuu usiombe upite sehemu zenye upepo mkali ndugu unatupwa kama karatasi vile
nb:nashauri kama unatumia gar ndogo mfano runx kwenda nayo mkoani beba hata mchanga kwenye buti gari iwe nzito kuepusha ajali
[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gari zote nimetumia
Analysis;
1) Altezza
- Ni gari nzuri sana na ngumu kwelikweli, inadumu sana. Ndio maana ipo kwenye kundi la sports car.
- Inabwia wese, Altezza zipo za aina mbili Altezza(sedan), Altezza Gita(station wagon) na katika hzo alteza zipo za4cylinder na 6cylinder.
- Kwa urban trips, litre moja inakwenda km 8-9, usiongopewe na mtu yoyote huo ndio wastan na ikitumika sana kwa miaka kadhaa wastan hushuka hadi litre 1 kwa km 7-8.
- kwa safari ndefu, 4cylinder inakwenda hadi km kati ya 12-15 kutegemeana na ubora wa gari yako.
- kama shuguli zako ni tripu za mjini tu, sikushauri kwa maana itakufilisi wese.
- Thamani yake kwa sasa ime-drop sana, hata ukiamua kuja kuiuza utaiuza kwa bei ya hasara

2)Premio
- Ni gari nzuri sana, kibongobongo tunasema zipo old model na new model but wataalamu wanaziweka kwenye Generations kwa maana ss tunayoiita new model wala sio new model ni second generation( 2003 - 2007), new model zipo za mwaka(2007 - present).
- Kwenye hzo generations zake zipo za cc1490, cc1790 na cc1990. ushauri wangu nunua hzo za kati ya 2003 - 2007 zenye cc1490(1.5l) kwa urban trips zinakwenda litre 1 kwa km 10-13 kutegemeana na condition ya gari.
- Thamani yake kwa sasa ni kubwa sana, namaanisha watu wanavyozi-rate hata ukiamua kuja kuiuza utaiuza kwa pesa nzur tu.
3)Runx/Allex
- Ni gari nzuri sana, zipo comfortable lakini huwez linganisha na premio.
- Ni ngumu sana na zinadumu, ila tatizo nyepesi sana(1090kg).
- Zipo kuanzia mwaka 2001 - 2006, na zipo za cc1490 na cc1790.
- Kwa ushauri wangu nunua za cc1490.
- fuel consumption kwa urban trips ni litre 1 kwa km 10 - 14 kutegemeana na condition ya gari.
- kwa safari ndefu inakwenda litre 1 kwa km 12- 16 kutegemeana na hali ya gari.
- Watu wanazi-rate high sana, zina thaman kubwa sana. ukija kuiuza utaiuza kwa pesa nzuri

Hitimisho;
- Kwa gari zote hzo hapo juu, kama kipato kinaruhusu nunua premio ya 2016, ila kama kipato hakiruhusu nunua runx au allex hutojuta! kuhusu suala la spare, hzo zote hapo bei zake ni chee tu kasoro premio za 2016.
ongelea na subaru impreza w 2008
 
Allex/Run X - Simple car, low fuel consumption, inaweza kuendeshwa hata na mtu mzima tofauti na Alteza ambayo imekaa kihuni sana(inawafaa vijana). Premio pia ni nzuri ila fuel consumption kidogo iko juu halafu yamekuwa mengi sana road, binafsi sipendagi vitu 'yeboyebo' sana
We Mjamaa sio kabisa..
Ndio nini sasa[emoji35] [emoji35]
 
tofauti ya premio na allion ni nini. ipi bomba zaidi?
 
Premio iko luxury zaidi kuliko zote na fuel consumption ndogo itafanya iuzike kirahisi
 
Kwahyo Mkuu RUNX chini ya Km 100,000 inaweza kuwa bei gani kuagiza through beforward ama wengine kama hao, na Altezza nayo itakuwa kiasi gani.
Mimi niliagiza Allex mwaka jana, hadi naiweka barabarani ilifika roughly 12.5 M (30,000 km ya mwaka 2005), ila ya mwaka 2001-2003 unaweza ipata hata hata kwa 11 M
 
Allex/Run X - Simple car, low fuel consumption, inaweza kuendeshwa hata na mtu mzima tofauti na Alteza ambayo imekaa kihuni sana(inawafaa vijana). Premio pia ni nzuri ila fuel consumption kidogo iko juu halafu yamekuwa mengi sana road, binafsi sipendagi vitu 'yeboyebo' sana
Allex sio yebo?premio ziko version 3....mm natumia 1500 cc...km allex tu....!!ila confortability n nzur kuliko allex..allex ukifikisha 120 speed gar inakuwa nyepec htar lkn premio habar nyngne....
 
A

Ahsante Kamanda, vipi kuhusu service huwa inacost how much? na wese budget yake ya wiki kwa mizunguko ya kimara posta itacost how much roughly???
Service inategemea na ww unataka genuine vifaa au unataka vya kawaida...mm mfano oil nnayotumia n ya 7000 km inacost around 120000...so roughly 150 k inatosha...ila inategemea na oil....kuhusu umbal...ushaambiwa km...calculate mwenyewe bro
 
Gari zote nimetumia
Analysis;
1) Altezza
- Ni gari nzuri sana na ngumu kwelikweli, inadumu sana. Ndio maana ipo kwenye kundi la sports car.
- Inabwia wese, Altezza zipo za aina mbili Altezza(sedan), Altezza Gita(station wagon) na katika hzo alteza zipo za4cylinder na 6cylinder.
- Kwa urban trips, litre moja inakwenda km 8-9, usiongopewe na mtu yoyote huo ndio wastan na ikitumika sana kwa miaka kadhaa wastan hushuka hadi litre 1 kwa km 7-8.
- kwa safari ndefu, 4cylinder inakwenda hadi km kati ya 12-15 kutegemeana na ubora wa gari yako.
- kama shuguli zako ni tripu za mjini tu, sikushauri kwa maana itakufilisi wese.
- Thamani yake kwa sasa ime-drop sana, hata ukiamua kuja kuiuza utaiuza kwa bei ya hasara

2)Premio
- Ni gari nzuri sana, kibongobongo tunasema zipo old model na new model but wataalamu wanaziweka kwenye Generations kwa maana ss tunayoiita new model wala sio new model ni second generation( 2003 - 2007), new model zipo za mwaka(2007 - present).
- Kwenye hzo generations zake zipo za cc1490, cc1790 na cc1990. ushauri wangu nunua hzo za kati ya 2003 - 2007 zenye cc1490(1.5l) kwa urban trips zinakwenda litre 1 kwa km 10-13 kutegemeana na condition ya gari.
- Thamani yake kwa sasa ni kubwa sana, namaanisha watu wanavyozi-rate hata ukiamua kuja kuiuza utaiuza kwa pesa nzur tu.
3)Runx/Allex
- Ni gari nzuri sana, zipo comfortable lakini huwez linganisha na premio.
- Ni ngumu sana na zinadumu, ila tatizo nyepesi sana(1090kg).
- Zipo kuanzia mwaka 2001 - 2006, na zipo za cc1490 na cc1790.
- Kwa ushauri wangu nunua za cc1490.
- fuel consumption kwa urban trips ni litre 1 kwa km 10 - 14 kutegemeana na condition ya gari.
- kwa safari ndefu inakwenda litre 1 kwa km 12- 16 kutegemeana na hali ya gari.
- Watu wanazi-rate high sana, zina thaman kubwa sana. ukija kuiuza utaiuza kwa pesa nzuri

Hitimisho;
- Kwa gari zote hzo hapo juu, kama kipato kinaruhusu nunua premio ya 2016, ila kama kipato hakiruhusu nunua runx au allex hutojuta! kuhusu suala la spare, hzo zote hapo bei zake ni chee tu kasoro premio za 2016.
Unaweza weka picha ya hiyo premio 2016?bei yake?
 
Back
Top Bottom