Aluminium in Vaccines is extremely bad news for our children: It enters the brain and stays there


Asante . Tupo tulio amkaa
 
Yes,you deserve it.
Ukweli ni huo.

Ninafikiri haujawahi fanya medical research. Unachokiamini kinaongelewa na watu kama Gwajima, ambaye ni layman katika field ya afya.

Sijui kama unafuatilia mpira lakini kama unafuatilia utakua unajua kwamba ligi ya EPL siku za hivi karibuni imekua ikiahirisha sana mechi kuliko ligi bora nne nyingine.

Katika takwimu ligi ambayo wachezaji na official walikua wana mtazamo kama wako juu ya chanjo ni EPL, so kinachotokea kwenye hii ligi na matunda ya hiyo misimamo.

Go figure.
 
Sasa taja hizo tafiti nizitafute mtandaoni nizisome.
Ona huyu! Eti mtandaoni! Sio kila kitu kinawekwa mtandaoni!!

Maana hata hiyo mitandao ni mabeberu-owned. Hakuna utakaloweka mtandaoni ambalo linakinzana nao likabaki salama.

I will tell you, nimefanya utafiti wa HIV, utafiti practical kwa watu halisi ninaowajua, nikabaini HIV ni ushenzi mtupu, urongoo kama ilivyo corona. NI UTAPELI.
 
Ujinga mtupu
 
Ok poa. Tuma hapa tafiti zako nizisome.
 
Asante kwa kuleta hili Lorenzo.Daktari mmoja amenihakikishia kwamba wananalizimishwa kupika data na for that they are paid,ni ushenzi ushenzi mwisho.

Mbeki walimfanyia mizengwe mpaka hakumaliza kipindi chake cha urais kwa kusema ukweli.Alisema HIV has nothing to do with a virus.It is a result of poisoning from various sources eg.manufactured foods,medication,industrial polution etc.etc.Unfortunately for them if you read their NWO Covenant this is highlighted very clearly!⬇️


"They will be blanketed by poisons everywhere they turn.

The soft metals will cause them to lose their minds. We will
promise to find a cure from our many fronts, yet we will
feed them more poison.

The poisons will be absorbed trough their skin and mouths,
they will destroy their minds and reproductive systems."

So you see,hata wanazodai ni dawa za Ukimwi ambao haupo, according to their Covenant ni sumu!
 
Siwezi kuzituma. Nimekwambia ni practical research.

Wala sihitaji endorsement yako!!

Nilikuwa nakutaarifu tu sio kwamba nilikuwa nahitaji kibali chako
Leo nikimsikia mcheza mpira anasema chanjo hazifai siwezi kumuamini hata huyo mtafiti akianza kuchambua mpira sitamuamini.

Wewe ambaye hata hujawahi kufanya utafiti. Hata haujui stages za chanjo mpaka inapatikana ndiyo unataka nikuamini?
 
Taaluma ya afya ni complex sana especially kwenye field ya vaccine.
Hizi topic zako za sasa hapa jamvoni mhemko tu na hofu uliyojengewa na imani yako ya kidini.
Kukuhakikishia hilo ukapelekwa katika jopo la madaktari ueleze hicho ulicho copy huko mtandaoni utatapika coz wewe ni layman kwenye field ya afya.
Huyo Lorenxo atuletee hizo tafiti zake hapa za kwamba ukimwi ni uongo tuzichambue hapa.
Inawezekana akawa mwanasayansi wa kitanzania..
 
Mkuu zipo scientific papers nyingi sana ambazo zimeweka bayana contents za vaccines na athari za kila content kwa binadamu,so kwa wataalamu wa kweli,sio vihiyo,this is not new.Mkuu kwa taarifa yako kwenye hizo zinazoitwa Vaccines kuna hata Mercury(Hg) na foetal material,na Hg is poisonous.
 
Hebu zilete hizo tafiti hapa kuwa chanjo ya corona ina content hatari kwa binadamu.
Bahati nzuri wataalamu kutoka idara husika wako hapa JF
Wizara ya Afya Tanzania

Unachokifanya mjinga yoyote anaweza kukifanya..
Kucopy article na ku paste hapa ni very simple.

Vaccine zinazotolewa na serikali zipo za aina tofauti tofauti je ni chanjo ipi uliyoichunguza na kuikuta ina hizo sumu?

Otherwise utakuwa unasambaza taarifa za uongo jambo ambalo ni kinyume na sheria za mtandao.
 
Nani atakuletea paper yeyote kwa mtizamo wa awali kama huu,👉Kucopy article na ku paste hapa ni very simple👈.Kaa na umbumbumbu wako na matango mwitu uliyolishwa na mabeberu.Akili zingine jamani kama za Bata vile,hivi beberu linaweza kuwa na kitu chema kweli,mbona hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…