Aluminium in Vaccines is extremely bad news for our children: It enters the brain and stays there

Hahaha haka kajamaa hakana hoja kakishindwa hoja kanakimbilia kuomba huruma na eti 'ignore list'
Hizo chanjo ni sumu na hazifai. Hakuna beberu anayeweza kukupenda wewe. Acha kujipendekeza.

60 years ago hao mabeberu walikuwa wanawauza baba zako utumwani na kuwachapa mijeledi kama mifugo. Ni juzi tu hapa hata vizazi viwili havijapita.

Eti chanjo!!! Wakuchanje wewe kwa kuwa wanakupenda sana! [emoji2][emoji2]

Zinduka wewe! Usiwe nyumbu!
 

Kaka Lorenzo msaidie ndugu yako kujibu swali la msingi katika hoja aliyoianzisha.

UWEPO WA ALUMINIUM NA MECURY KATIKA CHANJO YA COVID 19.

Msaidie kujibu hilo swali atuonyeshe uwepo wa hiyo sumu hatari.

Ndugu yako yenye anazunguka tu badala ya kujibu swali analeta story nyingi mara ooh gwajima ,mara ana CV saa nyingine anapanock anatutia mambumbu etc.

Wewe msaidie sasa au kama ulishaona hizo sumu labda utuelekeze hapa.

Tunamhaidi huyu ndugu yako manthanzua tutaifungulia case serikali kuu kwa kuamua kusambaza sumu kwa raia wake kupitia chanjo.
TUTAIFUNGULIA JAMHURI KESI YA MAUAJI YA KIMBARI😊

TENA WEWE NA NDUGU YAKO MTAKUWA MASHAHIDI UPANDE WA MASHTAKA.
 
Machanjo yote hayo ni sumu tupu.

Huhitaji hata kuwa sijui microbiologist. Hata mtu wa kawaida mwenye akili timamu ana uwezo wa kujua kuwa haya machanjo ni uchafu.

Halafu pia kama wewe ungekuwa msomi wa kweli ungeshatengeneza chanjo.

Wewe sio msomi, ni kanjanja tu lenye vyeti.

Huna ujuzi wowote. Mdandiaji tu wa mambo usoyajua.
 
Ungekua umefika angalau form four ungekua unajua kwamba duniani kuna tafiti na tafiti ndiyo zinakutana na kuonyeshana madhaifu.

Sasa wewe kinabo hata utafiti hujui unafanywaje halafu uko bize kupinga tafiti za wengine na unatarajia nikuamini unahisi unaongea na mtoto mwenzako?

Hii nchi imerahisisha upatikanaji bando na smartphones in turn imezidi kuimarisha ujinga wa wananchi wake badala ya kuuondoa. Unaleta conspiracy theories hapa ili ujadiliane na mimi? Mbafu
 
Tunamhaidi huyu ndugu yako manthanzua tutaifungulia case serikali kuu kwa kuamua kusambaza sumu kwa raia wake kupitia chanjo.
TUTAIFUNGULIA JAMHURI KESI YA MAUAJI YA KIMBARI[emoji4].

Heeee! Hivi kumbe hukusoma pale kwenye kile cheti cha chanjo?

Kwamba serikali haitawajibika kwa chochote kitakachokupata baada ya kudungwa yale machanjo?

Wewe umeshadungwa?[emoji2][emoji2] Au unawapeleka wenzio machinjioni huku wewe umefyata mkia na kujificha uvunguni?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hakuna utafiti wowote hapo. Uchafu mtupu.

Huwezi kuwalaghai watu na kujificha kwenye mwamvuli wa tafiti.

Kama kweli mngekuwa mnahusudu tafiti kiasi hicho, chanjo zingepitia mchakato mrefu kupima madhara yake ya muda mrefu na mfupi, ubora wake, na matokeo yake.

Yaani machanjo yametoka kiwandani yanafikia tu moja kwa moja kwenye miili ya binadamu?? Ahh weeee thubutuuu!!

Eti tafiti [emoji2][emoji2][emoji2] shenzi kweli! Tafiti ukiiona utaijua wewe guluguja dalali wa mabeberu???
 
Ningekua dalali wewe ndiye ungekua wa kwanza kukudalalia kinega mweupe wewe.

Kwakua haujui kitu ndiyo sababu haujui kwanini zimetokea kiwandani na kufikia matumizi moja kwa moja. Kwakua wewe ni mjinga na ninataka ufe na ujinga wako sikwambii kwanini imekua hivyo.

Kaa hapo hapo na vinabo wenzako mjione nyie ni magenious.
 
Dalali wewe, unaishi kijanja janja kwa kutoa wenzio kafara.

Fanya kazi halali, acha kudalalia masumu ya ajabu ajabu! Ati chanjo! Thubutu yako!

Kawaeleze hao mabwana zako hatuhitaji chanjo. Wazinywe wao na baba zao.
 
Dalali wewe, unaishi kijanja janja kwa kutoa wenzio kafara.

Fanya kazi halali, acha kudalalia masumu ya ajabu ajabu! Ati chanjo! Thubutu yako!

Kawaeleze hao mabwana zako hatuhitaji chanjo. Wazinywe wao na baba zao.
Kwahiyo haujawahi kuchanjwa?
 

Unaleta siasa
Jibu hili swali
Ni utafiti upi umeonyesha uwepo wa Aluminium na mecury katika chanjo ya covid 19?

Hayo mengine unayoyasema ni ufinyu wa akili yako tu...
Unataka kututoa nje mada...
Mada ameanzisha mwenyewe lakini kashindwa kuitetea kwa sababu ka copy huko google kaileta bila kuifanyia uchunguzi wowote.

Hili jukwaa la intelligence siyo jukwa la vilaza sampuli yako wa kubeba vitu na kuvileta hapa.
Ndo maana huwa siyo kila mtu huwa anakuja hapa ku post thread ovyo ovyo kaka.

Topic zinazoletwa hapa siyo conspiracy theories ambazo hazijatafitiwa kama za ndugu yako huyo Manthanzua!

Sawa umesema njanjo ya Covid ina sumu...
Hebu tuonyeshe scientific evidence inayo prove madai yako?
Hebu jibu hili swali kwa kutuletea huo utafiti.
 

Unataarifa CDC imetoa tahadhari kuhusu matumizi ya chanjo ya J&J iliyopigiwa kampeni na serikali na wananchi wengi wakapatiwa? Imebainika inasababisha kuganda damu kwenye ubongo.

Naheshimu sana tafiti na sayansi lakini isitufanye kuweka akili zetu kando kutafakari na kufikiri.
 
Wewe ni mbabaishaji na a tool of the NWO psycopaths,mchumia tumbo kwa kutumia mateso na vifo vya watu.You must be ashamed of yourself.Halaafuu, utanisaidiaje na wewe ni co-conspirator.Ni obvious you have been trained as an agent,maana taarifa obvious unajaribu kutumia all available uncooth means to waterdown.Wewe ni moja ya mapandikizi ya NWO JF specifically for distortion,and I know you are here and are many,ila hamnipi shida na hamtanikatisha tamaa,na bado,more is coming, nitawaweka uchi.

Halafu wewe unisaidie kuichukulia serikali hatua kama nani hasa,pandikizi la NWO ambalo ni co-conpirator linisaidie,ridiculous.
 
Uko sahihi kabisa mkuu,hiyo taarifa ni ya siku nyingi kidogo.

Ningependa ku-alert watu kwamba science sasa imegeuzwa chaka,na hata cooked stories kama za Omicron nazo eti ni science.Sijui kitu gani kimewapata wanadamu,wamepoteza kabisa reasoning capacity,diagnostic ability and critical thinking.People believe in obvious lies kama za Covid.Inashangaza sana, ningemuelewa kidogo mtu ambaye hajasoma kabisa,lakini anayeitwa mtaalamu wa afya kukubali huu utapeli wa Covid,I do not understand.This is a obvious con.
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unachekesha sana mkuu.
Usinishamabulie mimi...
Hizo story za NWO zinatoka wapi tena?

Wewe jibu tu swali ulilolianzisha hapa mwenyewe...
Uwepo wa ALUMINIUM NA MECURY KATIKA CHANJO YA COVID 19.

hakuna ingredients list yoyote iliyoonyesha uwepo wa hizo chemical weww umetoa wapi?
Umesema wewe ni microbiologist ina maana umefanya tafiti
Basi tuletee hiyo tafiti hapa na sisi tuisome tujue kuwa ina madhara kitaalam?

Hayo masuala mengine unayoyaanzisha yatengenezee thread yake huko.

Swali ni hili tu
UWEPO WA ALUMINIUM NA MECURY KATIKA CHANJO YA COVID 19!!!!

TUTATUMIA HUO UTAFITI WAKO KWENDA KUIHUKUMU SERIKALI KWA KUSAMBAZA SUMU KWA RAIA WAKE KWA KIGEZO CHA COVID 19.

Narudia swali tena

THIBITISHA UWEPO WA ALUMINIUM NA MECURY KATIKA CHANJO YA COVID19 kwa kutuletea hapa huo utafiti wako.

Usikimbie hilo swali kwa kuanza kunishambulia personal.

Kama unachokisema ni kweli unashindwa vipi kuleta huo utafiti hapa...mimi ukinishambulia hata haisaidii chochote coz siyo mimi niliyeleta hiyo mada hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwa akili yako ilivyo fupi ningekuwa nalipwa na hao sijui ndo dini au taasisi unayoitaja ningekuja kukuuliza? Au ningekuwa naanzisha thread za faida ya chanjo na kuhamasisha matumizi ya chanjo? Wewe kwa akili yako ushaona nimeandika thread yoyote kuhusu covid 19?

Swali langu ni hili hapa

THIBITISHA UWEPO WA ALUMINIUM NA MECURY KATIKA CHANJO YA COVID 19.
 

Cdc wana reccomend chanjo ya Johnson & Johnson's Janssen

Na taarifa hii ipo katika official website yao

Hii chanjo imeelezewa vizuri tu CDC ingredients,method of preservation na side effect yake ambazo ni very rare.

Pia cdc wameeleza vizuri namna chanjo inavyofanya kazi katika mwili wa binadamu.

Ukiwa mvivu kusoma ndo unaweza kuamini kuwa chanjo ni mbaya.na covid 19 ni uongo!

Ugonjwa upo na unaua kama hauchukui tahadhari.
 

Unafuatilia habari vizuri kuhusu kinachoendelea kweli? Naongelea taarifa haina hata mwezi.

 

Mie nakwambia mapungufu ya chanjo wewe unaleta habari za uvivu wa kusoma. Umeona mahali nimepinga Covid?

Tunaongelea madhara yanayoanza kuonekana sasa hivi kuhusu chanjo. Watu walisema inahitaji muda kuliko kukimbilia bila utafiti wa kutosha.

Sasa ndio itakua mwendo wa booster, chanjo ya tatu nne tano na kuendelea wakati kirusi kinaendelea kubadilika na wanasema hakisikii chsnjo zilizopo.
Kuchanja iendelee kubaki hiari at mchanjwaji risk.

Huu ugonjwa na chanjo zake bado hakuna mtu anaweza kutoa maelezo ya uhakika ya kujitosheleza.
 
Nimekuletea hii link for the last time,nadhani iko wazi,kwa ubishi huu wa kijinga kwa kitu wazi sihitaji kabisa dialogue na wewe,nakuweka kwenye ignore list.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…