Straight corner JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 385 Reaction score 132 Mar 12, 2014 #21 Ndugu mleta mada, kwa hali hii hata EFD hutapenda kuisikia!! Yaani Tz ni ujanjaujanja tu kila kitu. "Ongea naye mpaka mwisho" ndo style. Nachelea kusema utaingia mitini mda si mrefu kisa umeulizwa bei, unasaidiwa hutaki!!! Aghrrr, Tubadilike jamani.
Ndugu mleta mada, kwa hali hii hata EFD hutapenda kuisikia!! Yaani Tz ni ujanjaujanja tu kila kitu. "Ongea naye mpaka mwisho" ndo style. Nachelea kusema utaingia mitini mda si mrefu kisa umeulizwa bei, unasaidiwa hutaki!!! Aghrrr, Tubadilike jamani.