Straight corner
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 385
- 132
Ndugu mleta mada, kwa hali hii hata EFD hutapenda kuisikia!! Yaani Tz ni ujanjaujanja tu kila kitu. "Ongea naye mpaka mwisho" ndo style. Nachelea kusema utaingia mitini mda si mrefu kisa umeulizwa bei, unasaidiwa hutaki!!!
Aghrrr, Tubadilike jamani.
Aghrrr, Tubadilike jamani.