Ntaramuka
Senior Member
- May 2, 2008
- 169
- 27
Kwa heshima, upendo na imani, nampongeza DK. W. Slaa kwa juhudi zake mbalimbali na zinazoonekana katika kuwapigania watanzania, hakika huyu ndiye mzalendo number moja wa nchi hii iliyojaa mafisadi.
Slaa amepata changamoto nyingi sana katika lupiga vita ufisadi, lakini kikubwa ni jinsi alivyozomewa na MAFISADI WA CCM jana baada ya kikao cha bunge. MAFISADI HAWA WA CCM wanamshutumu kwa kupinga malipo makubwa saaana wanayoyapata wabunge ambayo ni tofauti na watumishi wengine wa nchi hii kama waalimu, askari, madaktari, wahadhiri nk.
Wanasema ati anatafuta ummarufu wa kisiasa!!! Slaa ni mwanasiasa na kazi yake ni kuwatetea wangonge masikini wa kitanzania, sasa hili likimpa umaarufu dhambi iko wapi?
Binafsi nasema ALUTA CONTINUA DK. SLAA, tuko pamoja.