Aluta continua pacome zizou one day yes!

Aluta continua pacome zizou one day yes!

Unaandika kitu ambacho hakipo shirikisha ubongo haijawai kutokea na haiwezekani uitwe kucheza world cup au africon ivorycoast kama hauchezi Ulaya ,Asia,Amerca unless uwe golikipa tu.
Goal keeper wa Asec Mimosas kaitwa
Ma beki wa kushoto wa asac kaitwa
Acha kikariri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goal keeper wa Asec Mimosas kaitwa
Ma beki wa kushoto wa asac kaitwa
Acha kikariri

Sent using Jamii Forums mobile app
Nionyeshe huyo beki ,nimeandika ni kipa tu kwa utamaduni wa ivory coast ndie anaweza kucheza ndani ya africa .Lete kikosi kazi cha wachezaji 27 tumuone huyo beki wa Asec
 
Unaandika vitu Gani wewe mbona ueleweki, kwamba auwezi kuitwa kucheza AFCON Kama uchezi ulaya?
Kwa utamaduni wa Ivory coast hauwezi kuitwa kucheza AFRICON au world cup kama hauchezi nje ya bara hili labda uwe kipa .Nitafutie kikosi cha ivory coast chenye mchezaji wa ndani ya Africa ukiondoa kipa.
 
Kumbuka Hata makocha wa timu za taifa huwa wanakosea Kwenye final selection ,kwa sisi tuliofuatilia Mpira siku nyingi tunajua.
Na kila kocha atakupa sababu zake .

Cameroon Rigobert song amemwacha striker wa Bayern Munich Eric maxim choupo akamweka leonel ateba wa union douala anaewindwa na yanga .
Na hapo timu isipo perform ndiyo kocha anaanza kukosolewa kwa maamuzi na iki perform anasifiwa.
So kuachwa timu ya taifa sio lazima uwe umezidiwa Kiwango na walioitwa , wakati mungine ni madhaifu ya kocha katika selection , sababu binafsi za kocha nk
 
Back
Top Bottom