Kumbuka Hata makocha wa timu za taifa huwa wanakosea Kwenye final selection ,kwa sisi tuliofuatilia Mpira siku nyingi tunajua.
Na kila kocha atakupa sababu zake .
Cameroon Rigobert song amemwacha striker wa Bayern Munich Eric maxim choupo akamweka leonel ateba wa union douala anaewindwa na yanga .
Na hapo timu isipo perform ndiyo kocha anaanza kukosolewa kwa maamuzi na iki perform anasifiwa.
So kuachwa timu ya taifa sio lazima uwe umezidiwa Kiwango na walioitwa , wakati mungine ni madhaifu ya kocha katika selection , sababu binafsi za kocha nk