PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Wakili Mwandamizi Alute Mughwai Lissu amebainisha uanachama wake wa muda mrefu katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa alijiunga na TANU mwaka 1976 kabla ya kuwa mwanachama mwanzilishi wa CCM mwaka 1977 na hajawahi kukihama chama hicho.
Hata hivyo, ameweka wazi kuwa yeye ni "mwana-CCM wa Nyerere" na kwamba mfumo wa sasa wa chama hicho unampa matatizo kidogo, huku akitetea mfumo wa vyama vingi nchini.
Akizungumzia harakati za mdogo wake Tundu Lissu, Alute ameeleza kuwa Lissu amekuwa akiwakera watu wa serikali tangu mwaka 1992 alipomaliza masomo ya chuo kikuu na kuanza kutetea haki za binadamu.