Siku hizi kumekua na ongezeko kubwa la programming bootcamps ambazo hutoa mafunzo ya programming, lakini nyingi kama sio zote hutoa mafunzo kwa bei kubwa huku wakihakikisha uhakika wa ajira baada ya mafunzo yao. Zingine zinatoa mafunzo bure na kukutafutia connection za ajira na malipo ni baada...