Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
- Thread starter
- #21
Kama una experience kucode kwa language yeyote itakua rahisi hata ku-save bando maana utakua unafahamu namna ya kupata materials
Kwa mobile ni changamoto sana labda kama unasimu yenye interface nzuri lasivyo pc ni muhimu sana mkuuu
Maaana kuna mambo ya programming na web designing na sql systems zote hizo zinataka practical za kwenye desktop au pc
Ningeshauri uwe na laptop tu mobile si vixuri kwenye mambo haya
Na bando hapo ukibania sana itakukula 3k daily
Maana wana magroup yao Whatsapp kama 2 na members 500 each pia
Wana magroup kwenye app ya slack
Hivyo ni kazi kweli inataka unlimited bundle
Ila ukifocus unatoboa tu