Siyo kama anahitaji kujitangaza, ila tu ujio wake utawapa wenzake wanaojificha kuwa wawazi. Kama kupumuliwa kisogoni ni starehe yake huwezi kumkataza kwani kila kiumbe cha Mungu kina haki ya kujistarehesha.
Mbona mabeberu, majogoo hayapumuliani? Ina maana wanyama wanamzidi akili mwanadamu?