Am a new member guys

Am a new member guys

Angalia upande wako wa kulia chini kabisa utaona alama ya kiduara cha blue kina alama ya jumlisha (+). Kiguse hicho kialama then utaona option zinakuja we chagua new topic. Utaandika uzi wako hapo then ukimaliza gusa kialama cha mchale kipo kulia juu kabisa.
mm natumia TECNO-306 kwahyo sioni hyo process ulionielekez mkuu,kwang inakuja tofaut kbsa kuna vbox ving sana lazm uvjaze mkuu!.
 
mm natumia TECNO-306 kwahyo sioni hyo process ulionielekez mkuu,kwang inakuja tofaut kbsa kuna vbox ving sana lazm uvjaze mkuu!.
Pengine labda huja-log in so upo kwenye page ya jf as a guest. Na hivyo vibox pengine ni vya kusign up. English si inapanda lakini?
 
Pengine labda huja-log in so upo kwenye page ya jf as a guest. Na hivyo vibox pengine ni vya kusign up. English si inapanda lakini?
Nmekumbuka, mtu hawezi kucomment kama sio registered member. Mi natumia jf new version labda kuna features zimechange
 
Back
Top Bottom