Mimi siwezi kukupa jina ila nitakupa vitu au vigezo vya kuzingati kutunga jina;
1.Lazima liwe fupi
2.Lazima litamkike kirahisi
3.Liwe na maana chanya katika lugha yako ya Taiga na at a mataifa Wengine(isitafsirike kama tusi)
4.Lowe rahisi MTU kukumbuka,epuka kutumia lugha ngumu.
Labda nikushauri tu,kama una kampuni tayari na umeajiri watu.Andaa makundi mawili na uwape kazi ya kutunga jina,hope utalipata tu.Napendekeza "New Iringa Pure Drinking Water"
Note:Tembelea FB page ya jamaa mmoja anaitwa Emmanuel Mwakambinda huwa anaandika makala za mambo ya masoko/marketing.All the best!