Am about to start packing drinking water, please assist on brand name

Am about to start packing drinking water, please assist on brand name

Mawazo yangu nikupe chaguo majina matano uyachague lakini mawili ambayo niliyapa chapuo wenzangu wameyataja ambayo ni
1.Mkwawa pure and safe drinking water.
2.Mnyalu
mengine ni:-
3.Raha
4.Iringa
5.Kamwene
 
...mwangaza pure drinking water
...eden pure drinking water
...mtoni pure drinking water
...mwambao pure drinking water
...isimani pure drinking water
...kilimahewa pure drinking water
nakadhalika
 
Mimi kwanza nikuulize, factory ipo eneo gani la Iringa?
Nipe personality yako kwa ufupi
Nipe interest zako kwa ufupi
Ntakupatia jina litakusaidia au utaunda jina mwenyewe kwa msaada wangu.
 
Tanzania ina majina ya maeneo 28,356.

Tuwasiliane nikupe jina bora la bidhaa yako.
Napatikana 0767102102, email :Hydom@yahoo.com
Watu kama nyie ndio tunaitaga wezi, mtu kauliza public wewe unamuita privately
 
Maji Mbwa
(As kanda hiyo wanapenda kitoweo cha huyo mnyama)
 
Pick up one of these names Either DAB drinking water or Call J Spring Water
 
yanazlaishwa wapi? yawezekana eneo pia likawa na impact kwenye brand name
 
ruaha pure drinking water, mtwa drinking water, lugalo, kitonga, ismila drinking water
 
Back
Top Bottom