Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
mkubwa ,hakuitaji kusema alikuwa anahonga kwenye kutongoza kujua hilo swala.kitendo chake cha kutaka mwanamke kwa kuhonga ndio kilimfanya aumizwe kwenye past relationship zake kwani hao wanawake hawakuwa wanampenda yeye walikuwa wanapenda pesa zake.ila mzeee wa THE GUNNERS uporoto01 hajasema relation ship zake za mwanzo zilikuwaje kama alikuwa anahonga sana au vp? yeye kasema tu kwamba aliumizwa, na hiii anayofanya sasa hivi ya kununua ngono si kwamba aanahonga ili apewe ngono hapana ni kwamba analipia ngono , kuna tofauti hapo mzeee ......... au bado una hangover ya mabao ya ManU?
kununua dada poa ni mchezo wa watu wengi wanaopenda kutumia nguvu ya pesa kwenye mapenzi. hakuitaji kufafanua zaidi kwangu kumjua tabia yake.