Am addicted to paying sex.

Bubu Ataka Kusema. Mimi binafsi huwa ninafurahia sana unachoandika hata ku-forward hapa. Kuna wengi huwa hawapati hata gazeti wakasoma zile habari muhimu, wewe unajitolea bila hata kulipwa cent tano na unaleta hapa na tunafurahia. Wale ambao hawafurahii, basi walete za kwao. Hakuna mtu katika maisha hajafanya cut and paste!! Tena ingewezekana Mods wangetuwekea jukwaa la magazeti ili watu wapeleke huko tusome na kuchangia.

Heshimaaaaaaaaaaaaaaa ni kitu cha bure jamani. Hatred hazina maana. Heshimu kazi ya mwenzio ili na yako iheshimiwe.

Have a nice weekend JF dedicated members who hates ugomvi. Tuanzie upendo hapa ndipo tuweze kuusambaza kwa taifa la Tz.
 
Bubu Ataka Kusema tunakukubali na kufaidika sana na juhudi zako usivunjike moyo
 
will you two NYANI NA BUBU stop???????? you are the one now boring all of us tuko hapa kusaidiana hili na lile kwenye maisha ya kila siku sasa mmeshabadilisha topic imekuwa ni copy en paste badala ya addiction ya kulipia ngono hebu tumshauri mwenzetuuu asije akaangamia kwenye janga la dunia,
 

Hivi bwana mdogo Uporoto01 hili tatizo ulilipatia ufumbuzi au bado unafunua funua tu.
 
Mjomba kama umeamua maisha hayo hakikisha unayaishi kikamilifu,usije ukaoa kabisa coz hautamtendea haki mkeo!!
 

Uporoto bila shaka una laana na aliyekupa laana hiyo kishakufa. Kule kwetu tusingesema ulinikigune.
 
"Hii iliwahi kunitokea pale Breakpoint nilikuwa nimekaa na rafiki yangu tunapata konyagi ghafla akaja muhudumu na kutuletea mzinga . Tukamwambia mbona ya kwanza hatujamaliza na hatukuagiza ingine? akasema kaka nimeagizwa na dada yule aliekaa pale anaomba ukimaliza na rafiki yako ujumuike nae pale.Kuangalia dada mwenyewe simfahamu, nikaenda kumsikiliza akaniambia kaka samahani najua hunifahamu lakini naomba unipe kampani kila kitu juu yangu.Mezani kuna funguo za gari na simu 2 za bei mbaya na mwili mzima kachafuka dhahabu.Nikaogopa na kumwambia utanisamehe kuna sherehe tunaenda na rafiki yangu labda siku nyingine."

Hii comment nilitoa kwenye ile thread ya aliekua anatafuta demu kwa ajili ya weekend mwezi wa nane,nafurahi kuwajulisha huyu dada ndio girlfriend wangu sasa na tatizo la kununua sex halipo tena kanisahaulisha machungu yote ya mahusiano ya zamani.Nawashukuru wote kwa ushauri wenu.
 
Mkuu Kilambi kwani wanaume waliooa hawatumii 'sabuni'?
 
Hongera kwa kupata suluhisho la tatizo, all the best.
 

Mlipima lakini kabla ya kuanza mahusiano yenu na huyu dada?,maana kuna wengine wameingia kwenye mkenge kwa staili hii ya kukutana na akina mama wenye uwezo(waliochafuka kwa dhahabu,wenye magari mengi,wenye pesa za kumwaga) na baadae wanaambulia kuambukizwa ngoma.....Kuna rafiki yangu aliingia mkenge baada ya kupata zali kama hili lako,lakini alikaa na yule mama miezi 6 akafariki(yule mama) akamuachia yule mshikaji wangu MALI kibao na UKIMWI...Jamaa kwa sasa ni marehemu,hakuzifaidi hata hizo mali alizoachiwa,alichokifanya kipindi hicho baada ya kujigundua kaambukizwa ni kuanza kutembea hovyo na watoto wa kike(hasa wanafunzi),Siku jamaa alivyokufa ilikuwa mshikemshike maana aliacha orodha ya wanawake aliotembea nao wengi wakiwa wanafunzi wa Sekondari(Nakumbuka gazeti la Kasheshe enzi hizo lilitoa habari hizi),ilikuwa ni mshikemshike,watu walidata aisee
 
mademu wa bar elfu 5 mpaka 20 huwezi kuishiwa wala nini; kama kujenga utajenga na kama gari utanunua...
 
mhhh, fanya mkapime halafu umuoe kabisa kama unampenda naye anakupenda ila angalia sana usijerudi kwa wale wa kununua kama ulivyozoea mwanzo
 

swali zuri sana sina nyongeza hapa
 

Asante kwa kunijali,ndio tulipima,alikuwa anahitaji sana mtoto na ana mimba ya mwezi mmoja sasa.
 
banaeee! kuna miwatu imeoa au ina-relationship lakini inanunua vile vile..sinadhani kama ni addiction, utakuwa unapumzika kidogo kabla hujaanza mikasheshe ya kuwa kwenye relationship.......Lakini angalia usije ukawa unaenda kununua ukiudhiwa ndani ya relationship.
 
But as long as you are having a protected sex with sluts, nothing wrong about relieving youselves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…