Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo;
- Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea na wanawake wa kichaga kibao
- Killa mara najikuta ninapendana na wanawake wenye mzigo mkubwa i mean wowowo na maziwa ya nguvu
- Kila mwanamke ninayekutana naye ananitamkia kuwa anachanganyikiwa na mapenzi ninayompa na wengi wao wananitamkia kuwa anatamani afanye lolote liwalo ili niwe naye, now mimi naogopa asije akanifanyia black chemistry.
Sasa najiuliza "is it just coincidence au kuna explanation nyingine? naomba wenye ufahamu wa mambo haya