my dear friends, thanks alot for your prayers and wishes for my big day....ehehehhe been married for 18 days now!!!
Geoff, thanks a lot for starting a special thread for me...and for all of you who responded to it, am highly humbled.
am back now....majukumu yamezidi u know but will try and be around more. watch this space for a baby shower invitation LOL!!!!
Nilitaka kuwaalika jamani lakini JF was down for a week around that time. All went very well. nashkuru sana.
to all of you, Mwenyezi mungu awalinde na kuwaruzuku vya halali!
Congratulations and welcome back
Can u post Picha please
kwani mie ndo nimeolewa au kuoa huh? I meant picha za harusiDuuuu can you post urs in this forum?
kwani mie ndo nimeolewa au kuoa huh? I meant picha za harusi
What d'u' mean there(red) buddy!kwani mie ndo nimeolewa au kuoa huh? I meant picha za harusi
Kaizer 18 days enough mimba kuingia...:gossip:
Duuuu can you post urs in this forum?
Mi nasikitika tu kila demu mzuri anaolewa mmmmhhh unlucky Masa! Ila ilikuwa nzuri sana, unakumbuka zile ngoma za kiasili? Nililewa nusuru Mzenji anipige na mwiko, maana baada ya kufika home badala ya kuweka nguo kwenye washing machine nikajikuta naziweka kwenye oven. Thanks Mzenj kunisamehe ama kweli pombe si togwa. Hongera Shi shi......are you expecting? mmmmmhhhh