Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
Masa, mbona husomeki? why are you unlucky? si una mzenji jamani?hutaki warembo waolewe na wengine?
labda masanilo bado amelewa, pombe ni hatari bwana,
dada shishi hongera sana, Mungu awatangulie kwenye maisha mapya na yenye faraja tele