AM Basi laua zaidi ya watu 10

AM Basi laua zaidi ya watu 10

Selous

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2008
Posts
1,325
Reaction score
145
Basi la AM lililokuwa linatokea Moshi/Arusha limeua baada ya kupata ajali. km chache kabla ya kufika Nzega mjini.

Poleni wafiwa
 
Lilikuwa likienda wapi (kituo cha mwisho) maana naona route ni ndefu sana!!
Poleni waliopatwa na msiba.
 
Moshi - Arusha - Singapore - Shy - Mwanza
 
RIP waungwana.

lakini post ipo kwenye siasa, Mods rekebisha
 
Sishangai kwani hiyo njia ya Arusha - Babati Singida - Nzega - Kahama/Mwanza.

Am, Jordan na mabasi mengine wanakimbia ajabu na magari yote ni yale ya chesesi za malori. Na wanapata ajali every week sema tu huwa hairipotiwi.
 
Lilikuwa likienda wapi (kituo cha mwisho) maana naona route ni ndefu sana!!
Poleni waliopatwa na msiba.

Kaka hiyo ni fupi yapo yanayotoka Moshi, Arusha, Babati, Singida, Nzega - Mwanza/Kahama/Bukoba.

Hiyo ruti ni balaa muda wote hayo magari yapo faster kwa kwenda mbele na muda wote yamejaa na abiria wanasimama kifupi ni ruti yenye abiria wengi ila magari machache.

Na wapinzani wakubwa ni AM na Air Jordan.
 
Basi-lori, ruti ndo hiyo!

No regulations! No standards! No responsibility, Ah! .......
 
Tuwaombee majeruhi wa ajali hiyo kupona haraka na pole kwa ndg na jamaa za wafiwa
 
Taarifa za sasa TBC1 ni 21 lakini waliopo hosptali wanasema 27
 
Nimeenda eneo la tukio, tungekuwa na safety awareness tungepona. Viti vya basi vimebaki kasoro cha dereva na paa la basi limetoka. Nilikuwa njian naenda Kahama nimepitiliza nimesahau hata camera. Wenye fani watawaonyesha. Inasikitisha sana. Hii kona ni mbaya na mvua zipo
 
Back
Top Bottom