AM FINISHED!!! You ladies why?????

AM FINISHED!!! You ladies why?????

TIMBALA

Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
6
Reaction score
0
JAMANI WANA JF HABARI,

Mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja kubwa tuu na mshahara wangu mzuri tuu najimudu vyema. Wakati naanza kazi nikakutana na mdada mmoja ambaye alitokea kunipenda ghafla nikajikuta nimeshaingia kingi bila kujijua. Maskini ya Mungu kumbe ni mke wa mtu na hakuwa na pete na mimi kwa ugeni wangu sikulijua hilo. When i realised that nilijuta sana na bahati nzuri jama hakujua, maana sijui ingekuwaje.

Huyo dada alivyogundua kuwa nimejua akawa analia lia tuuuu na kunibembeleza kuwa huko kwa mumewe hapati chochote jamaa hovyo. Akawa ananisifia kuwa endapo nitamwacha atajiua, hivyo tuwe wapenzi kisiri siri. Nikaamua kumuacha step by step, bila yeye kujua. Nikawa napunguza frequency za kukutana na yeye taratibu. Alivyoona vile akaenda akamchukua mfanyakazi mwenzangu pale ofisini akawa substitute yangu. Baadaye akaanza kuniponda tena na majungu kibao, mpaka sasa anaendelea kufanya hivyo huku akijua kuwa mimi najua hilo na anaona sawa.

Jamani dunia imekwisha, nimetafakari sana hivi ningefumaniwa na mumewe ningekuwa wapi sasa!!! Mtuoneee huruma jamani akina dada muwe na uzalendo muwe wawazi. Am tired and i dont trust a woman naona bora niishi kivyangu vyangu tuu.
 
Some women say the same about you guys. Hizi sio lawama zinazostahili upande mmoja tu bali pande zote mbili.Swala la kwamba huamini wanawake ni kama unajikomoa mwenyewe maana mwisho wa siku ni wewe utakaekosa mwenzi wa maana kwa kuishi kwa wasiwasi.Ulivyoelezea unaonyesha wewe ni mwanaume mzuri maana hufurahii kuingia ndoa ya wenzako...hapa jua kuna wanaume wameshindikana ila kama wapo wachache kama wewe amini kwamba hata wanawake wazuri wanaojua nini maana ya mapenzi/mahusiano na ndoa kati ya watu wawili tu na sio watatu wapo pia!!Fikiria tena...
 
na wewe unasubiri kutongozwa na mijimama ndio faida yake ungefumaniwa bahati yako siku nyingine uwe unatumia akili.
 
Timbala basi siku nyingine,
uwe unapiga hodi mlangoni kabla hujaingia ndani,
waweza kuta wakwe zako wako uchi ati............................
 
maumivu ya mapenzi lazima utayahsi kwani ulishapenda tyari.
lakini cha kukufariji nikua huna kosa lolote ulilofanyakatika kufikia hali hyo
uliyo nayo.you are not guilt of it.hilo likupe faraja na amini kua kugundua hilo ni
jambo bora sana ambalo limekutokea (kwani una sound kua hufurahii kua na mke wa mtu)
same way usingefurahia mtu awe na mke wako.\
Hii ni bfursa ya wewe kuanza upya na ku rectfy kosa.
Usijali brother, itaisha, utasahau, na uatampata mwingine atakae kuonesha tena
tumaini katika maisha ya maoenzi.
 
Akili zetu huifanya midomo inyamaze.
Ulimwamini vipi bila kufatilia undani wake?
Japo hata kujua rafiki zake ambao wangekusaidia kukupa data.
Au ndo mlikuwa mnazungumza siku mpo katka mechi? Hii ni mbaya maana kitandani mengi hunenwa ya uongo na kukubaliwa hata yasiowezekana ilimradi mtu atimize haja.
Anza moja!
Atatumikiaje 2 lords?
Unafikiri inamaana kuwa na mke wa mtu kisirisiri?
Kama ni msaada mwingine mpe tena sio wakuja kuchukua pesa bali umfundishe kuzitafuta.
Aaah! .... Mapenzi gani hayo?!
 
Kua uyaone,huyo dada hajui anachokitaka kitendo cha yeye kukuungisha trela tena kwenye ofisi moja na kuanza kukuponda sio cha busara,kama ameamua kuishi maisha hayo hakuwa na haja ya kukuonesha yeye ni nani tena ukinzingatia ni mke wa mtu.

nakushauri usiwachukue kina dada sio wote wako kama huyo uliyemuona,bahati mbaya ulikutana na tapeli wa mapenzi na nia yake ni kutimiza tamaa zake za mwili.Kikubwa mshukuru Mungu kwa kumgundua mapema kabla ya kukolea na penzi lake.
 
She is not worth pinning over... kavua pete she would do the same akiwa wako
Kuchukua subtitute ni ushamba na uhuni wake for yeye kama mwana dada..
picha tofauti na the guy akifanya hivyo... naamini kajishushia P, na hata huyo kaka
From your maelezo ni limbukeni na jihesabu mwenye bahati umeepuka mapema
hapo kakubali tu sababu ya :A S 465:, na ile lia lia yoote sio mapenzi juu yako bali alichokua anapata...

Hata hivyo haina maana kua huumii... Pole saana, kua mvumilivu na please next time ugenini b careful
Usikate tamaa, mwanamke ana nafasi yake katika mambo mengi maishani hata kama hamjaoana
hivyo usichoke hivyo Timbala...

Best of luck...
 
na wewe unasubiri kutongozwa na mijimama ndio faida yake ungefumaniwa bahati yako siku nyingine uwe unatumia akili.
kama wewe ni mtu mzima na unayeelewa sircumstances ktk mapenz
i sidhani kama unaweza kumwambia mtu aliyeko katika halia kama hii maneno kama haya.
kama wewe mahusiano yako kimapenzi yamekaa imara sana sio kwa kua wewe ni mjanaja sana
ni basi tu ni bahati, au baraka hivyo usiringe sana na kuwaona watu wengine hawana akili..
 
Hongera kwa kuona hilo ukajiondoa
wapo wanaume wengi wenye tabia kama za huyo bi dada............. una uhakika unaweza kuishi kivyako vyako......... au ndio leo utakuwa na mwajuma akiolewa unatafuta rose mwisho wa siku inakuwaje....
katika ulimwengu huu hayo ni mambo yapo cha muhimu kuomba Mungu umpate atakayekuwa na tabia nzuri.........na wewe ukiwa mfano

Daahhh
Pole sana mkuu
Kama ndio umeanza hizi sarakasi
Na mazingaubwe ya ku date kaza
mwendo kwani mchana bado kweupe..
Ukifikisha 5 hivi hapo sasa umesha kuwa konkody.. hutaingia gizani kirahisi..
Nachukua muda kumjua mtu kama
Unatafuta wa kuoa...

Mmmhhh siku nyingiine ukinunua takeaways
Usipeleke nyumbani .. kula barabarani au simamisha gari mahali...

Hujanielewa ni PM
 
Some women say the same about you guys. Hizi sio lawama zinazostahili upande mmoja tu bali pande zote mbili.Swala la kwamba huamini wanawake ni kama unajikomoa mwenyewe maana mwisho wa siku ni wewe utakaekosa mwenzi wa maana kwa kuishi kwa wasiwasi.Ulivyoelezea unaonyesha wewe ni mwanaume mzuri maana hufurahii kuingia ndoa ya wenzako...hapa jua kuna wanaume wameshindikana ila kama wapo wachache kama wewe amini kwamba hata wanawake wazuri wanaojua nini maana ya mapenzi/mahusiano na ndoa kati ya watu wawili tu na sio watatu wapo pia!!Fikiria tena...

ukitulia una busara sana
 
DaahhhPole sana mkuu Kama ndio umeanza hizi sarakasiNa mazingaubwe ya ku date kaza mwendo kwani mchana bado kweupe..Ukifikisha 5 hivi hapo sasa umesha kuwa konkody.. hutaingia gizani kirahisi.. Nachukua muda kumjua mtu kamaUnatafuta wa kuoa... Mmmhhh siku nyingiine ukinunua takeawaysUsipeleke nyumbani .. kula barabarani au simamisha gari mahali...Hujanielewa ni PM
Alafu wewe...mwangalie na vijishauri vyake vya kizushi hapa!
 
Akili zetu huifanya midomo inyamaze.
Ulimwamini vipi bila kufatilia undani wake?
Japo hata kujua rafiki zake ambao wangekusaidia kukupa data.
Au ndo mlikuwa mnazungumza siku mpo katka mechi? Hii ni mbaya maana kitandani mengi hunenwa ya uongo na kukubaliwa hata yasiowezekana ilimradi mtu atimize haja.
Anza moja!
Atatumikiaje 2 lords?
Unafikiri inamaana kuwa na mke wa mtu kisirisiri?
Kama ni msaada mwingine mpe tena sio wakuja kuchukua pesa bali umfundishe kuzitafuta.
Aaah! .... Mapenzi gani hayo?!

Haiwezekani na haina maana kabisa, kama vile ambavyo haina maana kuwa na mke wa mtu kisirisiri.

Hivyo basi, tusilaumu wanawake tu, hawa wanaume wa hivyo wapo.
 
Back
Top Bottom