Am I beggining to loose my integrity?

Am I beggining to loose my integrity?

Unakumbuka nilishawahi kukuambia current mchumba wako huna mapenzi naye ya kweli. Leo umenihakikishia na umeniongezea confidence kwenye kuamini analysis zangu!
duuuh dada kumbe wewe mtabiri eeeh
 
Thanks Nitajaribu kukushauri
If you dont belive in SX before marriege plse make sure na huyo mwenzi wako anamawazo kama hayo
Lakini mimi yamenikuta, Huyo dada anatafuta ndoa lakini hakupendi angekuwa anakupenda asinge kuacha na kwenda kwa mwingine, It shows huko alikokwenda hakuna matumaini ya ndoa ndo maana karudi kwako,
Ukiwa na mahusiano na msichana hakikisha unaweka wazi misimamo yako, If you dont wanakuona mjinga hasa husipo onyesha dalili ya kutaka ********, siku hizi wasijana wajinga sana ukiwa na mausiano nae na usionyeshe dalili ya sex wanadhani hauko kamili, all in all Jesus is the answer

yereuwiiii...kiruuuu mods nku mkeri lanye????ngoo yapalika paaa
 
baba yangu alinikataza kuwa na marafiki wa kike..matatizo yake ndio haya...kama hutaki kunipa kitu yako chapa lapa..nina dada zangu wanatosha kuwa marafiki zangu...
 
hivi wewe ni mwanaume au??kweli tunatofautiana.....nikiachana na mtu...inanichukua masaa tu kumpotezea.......kabla ya siku mbili kupata mapoozeo somewhere else!!!
 
fundisho kwa mijibaba.....pigeni shoka! hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume!

hashycool,mambo? how is Michelle?
achana na hii njemba,miaka minne na mwanamke unamwangalia tu,amekuwa dadako?
 
Last edited by a moderator:
Yaani nikijisikia hamu ya kucheka ndio huwa nakuja huku MMU, yaani dume zima unasema you don't believe sex before marriage!!......wenzako siku hizi tumeongeza vigezo we beleive sex and marrige is not necessary but pregnancy and baby must.
Mimi nadhani watu wengine mlishindwa kujitambuwa kama mlizaliwa na wito wa kitawa, kwahiyo unataka kuniambia ndani ya miaka 4 hujagonga ngozi kabisa!?
 
We PADRI humo humu leo
 
All my life nimekua very decent and sijawahi kucheat au kubadilisha couples kama nguo. Huko nyuma kuna rafiki mmoja wa kike nilimuangukia totally hadi hata pua ikagusa ardhi. For four years tulikuwa pamoja na nikadhani tutakuja oana kumbe mwenzangu alinichukulia as her best frend. Najua mtanishangaa but we did everythng except sx(i dont believe in sx b4 mariage) . After 4 years nkapigwa chini baada ya kutambulishwa kwa mchumbake. Aliharibu my confidence kabisa toka that year! mpaka leo hii hua naamini cpendeki! na nkaona as if ni magic mm kuwa na huyo mdada. I even spent 2years nikimbembeleza lakini wapi. Mpaka sasa huwa naamini hakuna mdada niliyewahi kumpenda kama huyo in my life.Mwishowe nikamove on. Juzi kanicall anataka tufanye mpango wa kuoana if ana nafasi tena. My every piece of self tells me to go to her ili nipone psychologicallly! But deep down I also hate her for what she did!
Please advice with awareness that I am morally tied down to my current fiance

Jaribu kama unavyoweza kuendeleza hiyo hate ili utimize ndowa yako unayotaka kufunga!
 
hivi wewe ni mwanaume au??kweli tunatofautiana.....nikiachana na mtu...inanichukua masaa tu kumpotezea.......kabla ya siku mbili kupata mapoozeo somewhere else!!!

Mkuu hapo inategemea definition yako ya mwanaume. Jamani, surely there is smthng more to women than kuwa mapoozeo! Ajabu mtu kama wewe anaona raha kusema hivyo ila akiulizwa mzazi wake naye alkuwa hvyo? anataka kupigana!
 
Subira yangu ndio iliniponzaa, ngoja ngoja naonekana zobaa x 2
Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi, mabayaaaa!!
Banana Zoro.
 
Petcash, acha kutazama nyuma, kaza uso kuelekea mbele. Hakuna mtu asiyependwa duniani na wala usijaribiwe kurudiana na huyo dada kwamba ati hakuna mtu wa kukupenda. Ukiamua kurudiana naye kwa hisia ati hakuna wa kukupenda basi uko hatarini, kama unadhani bado unamchukia, mueleze wazi hisia hizo na sababu ya hisia hizo ili uone kama yuko serious au kwa kuwa tu ametoswa.
 
Pole sana kaka, hapo angalia utaratibu mwingine, chukulia kama mlipotezana au amefariki je hutaoa tena?hapo huna mpenzi ila una mpita njia katika maisha yako,

maadam unahofu na mungu, piga magoti mwombe akuonyeshe njia na mke bora na si bora mke
 
Back
Top Bottom