pauline
JF-Expert Member
- Dec 26, 2010
- 650
- 140
- Thread starter
- #21
Jamani pauline zaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,usiogope. Nimeshashuhudia kuna mmama mmoja jirani yetu hapo ilala dar, hakutaka kuzaa ujanani, akashtuka uzeeeni,kila akijaribu kutafuta wapiiiii? Sasa hv yu kama yatima nyumbani kwake,mumewe hashindi nyumbani,anatumia muda mwingi kwa kimada aliye zaa nae. Sasa huyu mama ameishia kuwachukua watoto wa kaka zake tena kwa nguvu ili awalee ila tu wakati shule zinapofungwa, wenye watoto wakija kuwachukua shule zinapofunguliwa anachukia balaa. Paule zaaa nakushauri zaaa haraka shauri yako.yu kama
nitazaa kama utanisaidia kulea,mie niende disco :happy::happy::happy: