am i ....normal


nitazaa kama utanisaidia kulea,mie niende disco :happy::happy::happy:
 
Hahaha hamna bwana nataka usikatae kuzaa kwasababu ya mwanaume maana hata akikubali kuwepo anaweza kuondoka kwa lazima so kataa kuzaa kwasababu WEWE hutaki /hitaji mtoto!
 
Just curious, if your mom angefikiria zaidi kwenda kwenye party, sijui ku socialize sijui kuogopa kupoteza haki ya kulala usingizi UNGEKUWEPO DUNIANI?
 



Pauline its normal lazima uogope kidogo, ukijiingiza with all confidence waweza chemka....
 
kitu kitamu unakipenda na siku nyingine unaruka ukuta lakini hutaki kuzaa....... ukipenda boga penda na ua lake mama.
 
hapo nilipobold naona ndio penye tatizo.....wengi wanalichukulia ni jukumu la mwanamke zaidi,kweli fanya utafiti wa wababa wangapi hata wanajua kubadilisha mtoto pampers,uone utakavyoshangazwa?!
Wapo wengi tu!
 
Time will tell Pauline...nakuombea uzima utasema siku moja raha ya kuitwa mama...
 
Pole sana Pauline, time will tell..ni raha sana kuwa mama
 
ipo siku utatamani tu,pengine marafiki wako wote unaokutana nao club,kila mtu akiwa na mtoto wake na umri ukianza kusogea,inaweza ikakujia na wewe kupenda kuwa na mtoto wako.usiogope kulea.mtoto wako wa kwanza ukishajifungua unahisi raha isiyoelezeka.one of my best moment kwa upande wangu nilipojifungua mtoto wangu,ingawa uchungu wake siwezi kuusahau maisha. ni nusu kifo
 

i'm comin a litle bit personal...how old are you pauline? Na hiyo semester unayozungumzia ni zamani kodogo au, i mean are u stil at university? And if yes, ni mwaka wa ngap.? I can be of a good advice kama ukinijibu, please
 

Kama hayo ndio mawazo yako na mama yako kama bado yu hai, basi nenda kwake na umpe ahsante na shukrani kubwa kwa kukulea/kuwalea mpaka ukafikia umri wa kujitambua kuwa wewe ni nani.

Tambua kuwa tuna madeni makubwa sana dhidi ya Mama zetu na hayo madeni hayawezi kuisha mpaka pale wazazi wetu watakapo tangulia mbele za Mungu.
 
Natamani kuwa na vitoto. Nitakapoamua kufanya hivyo hata sitojiuliza mara 2 mbili.
 
Mwanamke jasiri haachi asili . . .

Wewe ni jasiri unaetaka kuacha asili yako
Umenitamanisha nikuoe
 
nitazaa kama utanisaidia kulea,mie niende disco :happy::happy::happy:

Ww utoto unakusumbua ukikua utaacha tena utaacha mlango wazi kusudi wageni wakija wasigonge sana
 
Kulea ni mtihani, na si suala la kubadilisha pampers hata mtoto akifika umri wa kuanza shule ndo kabisaa kazi inazidi.....ni wito na ni kwa msaada wa Mungu tu watu wanaweza kulea.....kwa jinsi ulivyojieleza Pauline,ni uoga wako tu,unaweza kuwa mama mzuri sana na hasa kama utakuwa na partner mzuri....kama huna tatizo lolote la kiafya,au sababu nyingine kubwa,nakushauri uondoe hofu....
 
Dearest nikisoma hii na zinazofatia ni kama unaongea from experiance na kila kukicha unadai we ni mdogo tusikwambie maneno mazito lol!
 
i'm comin a litle bit personal...how old are you pauline? Na hiyo semester unayozungumzia ni zamani kodogo au, i mean are u stil at university? And if yes, ni mwaka wa ngap.? I can be of a good advice kama ukinijibu, please
Semester inayoongelewa hapa ni ya ujauzito sio chuo hahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…