Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Mi nimeshalea watatu dearest!!!Kwani kulea ndo kunazeesha au umri ndo unazeesha!?Dearest nikisoma hii na zinazofatia ni kama unaongea from experiance na kila kukicha unadai we ni mdogo tusikwambie maneno mazito lol!
Unalea yatima ?Mi nimeshalea watatu dearest!!!Kwani kulea ndo kunazeesha au umri ndo unazeesha!?
Unalea yatima ?
basi itabidi nami nikusanye wangu tuanze familia.Wala.....wote wananihusu!!!Nategemea utawapenda kama mimi nnavyowapenda!!!
basi itabidi nami nikusanye wangu tuanze familia.
Wanaofanana na mimi watatu halafu kuna wengine inabidi utaalamu wa DNA utumike mama zao wanadai eti wamefanana na marehemu babu/bibi.Wangapi hao wanaohitaji kukusanywa???
Kwa hiyo timu utanisamehe dearest...unataka kuniua mtoto wa watu!Wanaofanana na mimi watatu halafu kuna wengine inabidi utaalamu wa DNA utumike mama zao wanadai eti wamefanana na marehemu babu/bibi.
Tutachukua housegirl wawili kutoka Singida dearest usiogope.Kwa hiyo timu utanisamehe dearest...unataka kuniua mtoto wa watu!
Kwa hiyo timu utanisamehe dearest...unataka kuniua mtoto wa watu!
Mbona unataka kuniharibia kamanda ungejua nafukuzia mwezi wa sita huu bro.Hufi chamoto ndo utakiona!
Pauline, how r u?
Ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa MAMA,,
Ni ngumu kuwaza lakini mtoto akishazaliwa kila kitu kinabadilika, mfano mimi nilikua nasema hivi nitaweza kuamka asubuhi kufua nguo za mtoto, kupika uji wa mtoto n.k na uvivu huu jamani, hata huyu mtoto si naweza kumlalia bahati mbaya? Halafu mimba yenyewe niliipata bila kutarajia nikasema nikizaa tu huyu mtoto namuachia bibi mzaa babake au mama yangu alee mi naendelea na mambo mengine kusoma, kazi n.k.
Lakini nilipojifungua kila wazo lilibadilika my dia, nilikua wa kwanza naamka nafanya kazi za mwanangu uvivu wote uliniisha, akianza tu kujigeuza kabla hajapanua mdomo kulia nimeshaamka na kumuwahi lol, akilia kama naoga natoka na mapovu mwe! uchungu wa mwana acha kabisa.
Ucjali pauline ukishazaa mwenyewe utajishangaa, hizo kero za kuamka usiku wala huwezi ziona kero na saa nyingine kama alisumbua ucku basi mchana anaweza kushinda siku nzima amelala, unasahau kama usiku alisumbua unaenda kumbeba hivyo hivyo kalala maana unammis nae analala sana. Ukifika usiku mnaanza kubembelezana tena unazoea tu
Mi natamani arudi tena uchanga huyu, kwani sasa yuko busy na habari zake saa nyingine nakumbuka naanza kumnywesha uji na kijiko wakati ni limama lizima, kuwa mama ni raha my dia
....Nimeishi na dada yangu katika kipindi cha mwisho (last semmester) cha ujauzito mpaka alipojifungua mtoto wa kiume...mwenzenu sijui kwa nini,kumuona dada yangu anavyohangaika na mtoto limeniput off kabisaa mimi kuzaaa na kulea!.....jamani sio kazi rahisi especially siku za kwanza,nimeona hata usiku kila baada ya lisaa limoja mtoto alikuwa analia,inabidi ambembeleze ampe maziwa etc HULALI. .....pia kuwa na mtoto kumemzuia kwenda kusocialize kwenda club,parties etc....
...nauliza nyie wamama wa JF how do you balance being a mother,a wife ana may be full time worker........kwa sababu kila nikiangalia mwenzenu naona kama YATANISHINDA,hilo la umama naona kama nitalisacrificE nibaki hivi hivi...LOL
mwenzenu naona U MAMA ni wito kama vile ulivyo upadre LOL,'sio wote 'wanaitwa'! hehehe....kuna wanaowaza kama mimi au???????????????????????
Happy mothers day to all mamas here in JF,some of us understand how much you sacrifice for the sake of your kids...BIG UP TO YOU ALL....
Mwanamke jasiri haachi asili . . .
Wewe ni jasiri unaetaka kuacha asili yako
Umenitamanisha nikuoe
Tuliambiwa tukaujaze ulimwengu,sasa Paulin mpz ww ukikataa kuzaa inakuwaje?well nowdaiz kuna wadada weeeengi hawapendi kuzaa eti baada ya kuzaa shape yake itaharibika(Naomba usiingie ktk kundi hili)
- Wapo wanaozaa na kukataa kunyonyesha eti maziwa yatalala(Naomba usiingie ktk kundi hili)
No pain no gain,tabu zote utakazo pata,kutapika,mahasira,kusema sema ovyo,kuchukia watu,kutopenda kula etc yana mwisho mzuri ambao furaha yake haina kipimo kabisa na kila mtoto fuhara yake huja tofauti.
- Paulini kuna wanawake weeeeengi wanatamani kushika na kubeba,kunyonyesha mtoto lkn hawapati,kuna wanawake wanalia na Mungu usiku na mchana wapate japo mtoto mmoja lkn hawana mtoto,wapo wanaoenda kwa waganga na wametoa vitu vya thamani kubwa pia hawajapata mtoto
- Paulini mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu hivyo basi kwa wakati wake mtoto hupatikana na kwa wakati wake utajua na kuwa jasiri ktk malezi ya watoto,tena mama hodari sana ambae watoto wako watafata misingi bora ya maisha.Kila kitu na wakati wake.
-Pauline mama hana mpinzani usione tuko makazini kutwa masimu nyumbani"Dada amekunywa uji,ok so anacheza,vipi hana joto?muogeshe kidogo mbadilishe Daipaz,sa 5 mbembeleze alale akiamka saga chakula ndizi changanya na samaki alafu tengeneza juic ya embe,sa kumi ikifika mpe maziwa sawa eeeh?mkae salama mwanangu"
-Ma outings yana mda na wakati wake wa kuwa na mzee hilo halina mjadala lkn cha muhimu ni kupangilia mda wako vzr,kazi,mume/mtoto,marafiki na jamaa usisahau.
ujumbe mzuri sana dada, hongera kwa ku-enjoy umama, hata malaika mbinguni hufurahi mtoto anapozaliwa, Yesu aliwakaribisha watoto kwake, so nakubaliana kabisa nawe kuwa kuwa mama wa watoto ni raha!
nakumbuka nilipokuwa shule (A-level) siku moja mke wa mwalimu alilazimika kuniombea msamaha kwa machozi nisiadhibiwe kwa kuwa nilimchukua mtoto wake na kukaa naye tukipiga story kwa zaidi ya masaa matatu bwenini huku mama yake akimtafuta!! ni kwamba story zilinoga nikajisahau kumrudisha, kuja kushtuka saa tatu zimeishakatika na nyumbani wamemtafuta hadi mama yake ameishaanza kuchanganyikiwa!!
hahah watoto raha jamani!!
ubarikiwe sana mpendwa