am i ....normal

am i ....normal

just because umezaa,doesnt mean uko responsible....there are a lot of irresponsible and selfish mothers outhere......

babu mie nahisi hata hilo la umama lina wito,sio wote wanaitwa,wengine wanalazimishia tu sababu as a society jamiii inakuexpect at certain time and age uitwe mama,whether you are ready ama you want it,hio ni ishu nyengine...
mie mwenzenu bado hamjaniconvince, u loneliness ukiwa mzee hauwezi kunisukuma nikazaa sababu who knows nitaishi kufikia kuitwa mzee?:happy:
Reading from your comments its seems you are worried and you don't want to face responsibilities halafu hii ya kusema umama ni wito kidogo i am strongly against it tusitumie WITO kama ndio kigezo cha mtu kuwa mama, maana mwingine naye atatokea na kusema siwezi kuzaa sababu kuwa mama ni WITO.
 
He! Umama ushakuwa Wito tena?
 
`😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::doh::doh::doh::bathbaby::bathbaby::bathbaby::fear::fear::fear::yo::yo::yo::welcome::welcome::amen:
babu mie nahisi hata hilo la umama lina wito,sio wote wanaitwa,wengine wanalazimishia tu sababu as a society jamiii inakuexpect at certain time and age uitwe mama,whether you are ready ama you want it,hio ni ishu nyengine...
mie mwenzenu bado hamjaniconvince, u loneliness ukiwa mzee hauwezi kunisukuma nikazaa sababu who knows nitaishi kufikia kuitwa mzee?:happy:
 
Reading from your comments its seems you are worried and you don't want to face responsibilities halafu hii ya kusema umama ni wito kidogo i am strongly against it tusitumie WITO kama ndio kigezo cha mtu kuwa mama, maana mwingine naye atatokea na kusema siwezi kuzaa sababu kuwa mama ni WITO.[/QUtOTE

hujawahi sikia mtu kazaa kamtumbukiza mwanae chooni,au kamtupa jalalani...how do you explain that?
.....na huku nilipo,cases zipo kibao za social worker kuchukua watoto from unfit mothers,so yes kuwa mama ni wito wengi wanalazimishia tu
 
`😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::doh::doh::doh::bathbaby::bathbaby::bathbaby::fear::fear::fear::yo::yo::yo::welcome::welcome::amen:

:A S-baby::A S-baby::A S-baby::happy:
 
Reading from your comments its seems you are worried and you don't want to face responsibilities halafu hii ya kusema umama ni wito kidogo i am strongly against it tusitumie WITO kama ndio kigezo cha mtu kuwa mama, maana mwingine naye atatokea na kusema siwezi kuzaa sababu kuwa mama ni WITO.[/QUtOTE

hujawahi sikia mtu kazaa kamtumbukiza mwanae chooni,au kamtupa jalalani...how do you explain that?
.....na huku nilipo,cases zipo kibao za social worker kuchukua watoto from unfit mothers,so yes kuwa mama ni wito wengi wanalazimishia tu
Yaani kulazimisha kuwa mama? One thing i believe ni kuwa kama wewe na mwenzi wako mmekaa chini na kupanga what you want and what you need definitely hapo hakuna cha wito wala kulazimishwa, being a mother it comes automatically wanaotupa watoto its a result ya kukwepa na kukimbia majukumu, kutokujiandaa na kutokuwa na mipango madhubuti ya jinsi gani ya kumlea huyo mtoto
 
We dogo si umwambie dairekti tu kuwa wanaotupa watoto SIYO WAMAMA? Hakuna mama anayetupa mtoto.

Wanaotupa watoto ni mashetani wadogo waliojivika sura ya wanawake.

MAMA ni kitu kingine kabisa. MAMA amezaliwa tumbo moja na mtakatifu, hawezi tupa mtoto.
 
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

The Finest (Today)

Babu najua bado una nguvu za kutosha, ngoja nikamnong'oneze Bibi kuwa muongezee mtoto mwingine mmoja
 
je? Mama yako angekuwa na mawazo kama yako unge exist na kuja kuuliza hili swali.
 
Baba akienda kitandani mjue bibi anamsubiri. Kazi inaendelea.

Vijana wa siku hizi ndio wanasubiliana vitandani, mababu hawaulizi kitu
Bibi anapigwa gwala, akimwagika chini anasaula ye mwenyewe na kuiwasha transmitter, huku babu akiandaa antenna yake . . .
 
We dogo si umwambie dairekti tu kuwa wanaotupa watoto SIYO WAMAMA? Hakuna mama anayetupa mtoto.

Wanaotupa watoto ni mashetani wadogo waliojivika sura ya wanawake.

MAMA ni kitu kingine kabisa. MAMA amezaliwa tumbo moja na mtakatifu, hawezi tupa mtoto.

Hapa wamama roho kwatuuuuuuuuu
Wababa wamezaliwa tumbo moja na . . . .
 
Ubaba unawezeshwa na mwanamke, hauji hivi hivi

Sasa sindo aanze mchakato!!
Fynest acha wapenzi wa disco wang'ang'anie disco we jitafutie ka-malaika au ka-prince kako kakufurahishe siku zote!!:A S-baby:
 
Back
Top Bottom