Am I wrong if I process divorce?

Wewe ni wife material, wewe ni mwanamke kati ya wanawake wachache waliopo duniani, ila shida umekutana na zombiwisee.. Hana hadhi wala haki ya kufanyiwa uliyomfanyia.. Shika njia yako uende mamii, afya yako muhimu mnoo.. Kwake huna thamani kuna watu wanakuthamini na kukuhitaji kinoma noma(wazazi, ndugu jamaa na marafiki, mtoto wako)..

Wapo wanaume wachache wanaojielewa, ika kuwapa ni NTITI(Kujisemea wamakonde)

Sijui kwanini ni mtihani kumatch mwanamke saafi na mwanaume swaaafi.. [emoji848]


Mmoja akiwa malaika mwingine lazima awe makata kama sio subiani kabisa.

Wachache mnoo ndio wanabahatika.
 
Cha kukushauri ni usiwe mbinafsi ukae chini ufikirie ni sawa umeeleza mapungufu yake yote na sitaki kuamini kwamba toka mwanzo wa mahusiano yenu yalikua machungu kama kipindi unachopitia sasa hivi kama jibu hapana vipi wewe unauhakika jamaa yako hujamkosea au huenda afya yake ya akili haijakaa sawa kutokana na mihangaiko ya kidunia na changamoto anazokutana nazo au huenda kuna kitu alitarajia toka kwako lakini imekua ndivyo sivyo au huenda umebadilika hauko kama mwanzo na tumaini juu yako jamaa amelipoteza.Pili kaa chini fikiria watoto wako watahandle vipi suala la ww kuja kuwaletea baba mpya na je atawapenda kama baba yao au yeye jamaa atajari zaidi kuhusu watoto wake, ila pole huenda hujifunzi kuhusu tatizo la kijamii la watoto wanaolelewa na baba/mama ni mzazi ila mwengine sio mzazi wengi wao hupandikizwa chuki kuhusu upande mmoja na hujari zaidi mama au baba aliacha nini na sisi tukapate gawio kwenye mirathi aliyoacha mama/baba katika familia nyingine kuliko utu wa kupendana. Tatu na mwisho zidisha maombi mrudie Muumba wako yeye hakuna kitu anachoshindwa na hata ukirejea kiapo cha ndoa kuna maneno "mpaka kifo kitakapo watenganisha" ila wewe mbona umekua mwepesi wa kuvunja ili agano huyo mume wako unatakiwa uelewe ni wa muda tu na hata ukipata mume mpya kifo ndo kitawatenganisha hamtaishi milele baada ya hapo hakuna jipya ila zao lenu (watoto) mliloliacha huku duniani watapendana? au ndo itakua zao la chuki kwa sababu hawana maungano ya nyama na damu moja.Pia acha kuendeshwa na hisia zaidi kuliko hali halisi.
 
Mie naoa mwanamke na akinizingua namuacha vile vile nao mwengine! Huo ujinga wa kikatoliki kwamba eti hamuachani sijui heheh sio kwa mpare mimi
 
Run. ..run run...
Divorce or no divorce just run and run..

Why miaka yote unevumilia?

Mlikutana wapi kwanza??

So sad...just run na asijue unaishi wapi..

Ofisin waambie wakimuona wajue mmeshaachana agiza walinzi wampe kipigo cha kutosha..
It all started in my first year of marriage. Hakuwa na hela by then but things were much more peaceful kuliko muda ulivyozidi kwenda
 
Unajua most times hujui thamani ya ulichonacho mpaka ukikipoteza.
Na ukionesha weakness kubwa kwa mwenza ni tatizo,they take advantage of your weakness.So you need to state your ground point.Mtu akikuona una msimamo na unajua unachotaka hawezi kufanya ujingaujinga.

Hata mfano incase if it works ikitokea wamechukua break jamaa akajirudi ni lazima waende marriage counselling na jamaa aende kwa psychologist its obvious anahitaji msaada.
Na kama anaendelea tu hapo ndo ukiondoka ndo ntolee hurudi nyuma tena unajua kama second chance umeshatoa na imeshindikana.Ugandane na mtu wakati kila mtu alizaliwa peke yake 😅😅
 
I am not sure na cha kushauri,

Maana uko educated lakini elimu haikusaidii,

Tunaposema tuwawezeshe wanawake ili wajiweze, tunamaanisha kuepukana na vtu kama hivi. Unajiweza why going through the shit anymore. au una Stockholm syndrome?!
 
Hahahahahah dah wengi hawajui what they want and deserve in marriage! Mie pamoja na kupendana n shit nataka niwe na peace of mind daily sitaki kero so ukiwa source ya kero tutazinguana mapema sana! Kelele kelele zile hapana kama huna breki za mdomoni hatutawezana!

Sasa unakuja sanuka mwamba kasepa au ka call it quits kumbe tatizo ulikuwa ww unabaki unalia lia tu!
 
peace of mind na kufanya mambo kwa kushirikiana,,,kutojilinganisha na watu wengine badala yake tafuteni mbinu how are gonna move on tuweze kufika malengo fulani ambayo offcourse mnakuwa mmeshaweka kwenye malengo yenu.

kufanya jambo lolote bila malengo ni sawa kusubiri ndege feri.

if you don't plan you plan to fail.
 
Mie binafs nataka mwanamke wa hivyo ili tu niwe na peace of mind! Huwa hawanaga makelele😅
Unataka ambaye unamdunda na bado kakuganda? Umpe manyanyaso uone raha yeye bado yupo tu. Aisee... may be sijakuelewa.
Kwanini msipeane raha muishi kwa amani?
 

Thank you for the harsh criticism..but i believe i deserve it. Blessing
 
Dah pole
 
Unataka ambaye unamdunda na bado kakuganda? Umpe manyanyaso uone raha yeye bado yupo tu. Aisee... may be sijakuelewa.
Kwanini msipeane raha muishi kwa amani?
No lengo sio kumdunda lengo ni kudekezana tu maana mwanamke ambaye yuko submissive namna hio hawezi kukufanyia madhila na kero! Na mipango itaenda maana hamna mabishano ya kiduanzi! Yani mwanamke wa hivyo simpigi kwa namna yeyote maana sababu hasa za kumpiga zinakuwaga hamna!
 
Hatuwezi kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu, hatuwezi kamwe…. hapa unatafuta huruma tu na kumchafua mumeo.
Aisee..alafu nifaidike na nini? Well..its a free world naamini una haki ya kuamini unavyotaka kuamini. But that is my living scenario
 
Thank you..i thought so too but hearing it from another person makes it even better. Blessing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…