Am I wrong if I process divorce?

mimi ni mchaga pia pls omba msamaha mkuu,,,hahahahhahahaha,,,,ila kuna element ya ukweli hapa

ila kuwa raised na single parent is not an issue here,,,issue yeye kama yeye ana akilii gani
Inategemea mkuu, single parents akina baba wanakuwaga na balance ya upendo na kamwe hawezi haribu akili ya mtoto kumtia maneno ya hovyo kuhusu mama!

In very rare cases mtoto haathiriki na bitterness ya mzazi dhidi ya mwenzie
 
Jf hata mimi ilishanisaidia sana,,both bad and good advices lazima zikuvushe,,, kuna ile hali ya aman ya moyo utakayoipata kupitia hizi msgs kwani utafunguka macho.

always stay focused.
 
yaaani na kweli naona tukipiga kelele tu ila tunakuwa tumeshamaliza kazi yetu.

ila bhana wanawake tuna mambo, ukikutana na mtu mpole unaanza kuzingua tunapenda hekaheka mingi tu
Kumbe hii ni kweli aisee.
Zamani hata mj nilikua namhandle vizuri sana manzi yangu mwisho wa siku anakuona ka zuzu sasa atajinunisha mala akujibu hovyo unajifanya kuplay low, daah kumbe yale ni makosa bna.

Bila kashkash wanawake huwa hawaridhiki, yani mpaka umpelekeshe kidgo ndo heshima inakuja. Sema tu sasa hapo wanaume ndo huwa tunatofautiana wengine ndo hadi wanadunda kabisa kabisaa kama bidada hapo. Ila ndo ivo pia haondoki.
 
Inategemea mkuu, single parents akina baba wanakuwaga na balance ya upendo na kamwe hawezi haribu akili ya mtoto kumtia maneno ya hovyo kuhusu mama!
yaaaani ninyamaze tu maana single parent sio nzr lakin ndio inazaliwa na mambo kama haya,.,,kama una akili utawakuza vizuri tu

natetea mimi jaman,,,kulelewa na single parent is not an issue
 
And it is alright to believe unachotaka kuamini. Pengine unajiongelea ilikutokea..kuwa na amani kabisa kuamini au kuto amini
 
yaaaani ninyamaze tu maana single parent sio nzr lakin ndio inazaliwa na mambo kama haya,.,,kama una akili utawakuza vizuri tu

natetea mimi jaman,,,kulelewa na single parent is not an issue
Tuliweke kwenye braces tu, in rare cases mambo hayaaribiki! Single parent ambao mzazi mmoja alifariki labda ila wale wa divorce au kutelekezana ni hatari
 
Hugs..blessing dear
 
Tuliweke kwenye braces tu, in rare cases mambo hayaaribiki! Single parent ambao mzazi mmoja alifariki labda ila wale wa divorce au kutelekezana ni hatari
naliiacha kwenye mabano for now
point noted.
 
I am not sure na cha kushauri,

Maana uko educated lakini elimu haikusaidii,

Tunaposema tuwawezeshe wanawake ili wajiweze, tunamaanisha kuepukana na vtu kama hivi. Unajiweza why going through the shit anymore. au una Stockholm syndrome?!
Lol..thank you though. Kwa kweli hata mimi kwa hili sijielewi..nafikiria kwenda kufanya PhD nisahau haya for good. Naamini time heals
 
It all started in my first year of marriage. Hakuwa na hela by then but things were much more peaceful kuliko muda ulivyozidi kwenda
Ohooo mtu akiwa na hela ndo unamuona rangi zake.Pesa inabadilisha watu.Akiwa hana hela atakuwa malaika.Kuna mdada nae alifungua uzi kwa mbwembwe anaolewa na jamaa hana hela hata ya kujikimu anyway nawaombea kheri hao wanandoa....ila kwa upande wako ulitakiwa muwekane sawa pale alipoanza kuingiza kipato mgawane majukumu. Mwenzako anaona kapona kapata wa kumpunguzia zigo la maisha,hela zake ye anazichakachua zako ndo zitumike.Naanza kuona sasa kama umemuendekeza in someway hukuwa na msimamo tangia awali.
 
Thank you..inachanganya inaumiza inatesa
 
Hizi weakness hazimfanyi mwanaume kuwa mjinga, zinamfanya azidi kumpenda na kum-love mkewe.

Taja zile ambazo ni toxic katika maisha ya ndoa! Usiseme huna coz hakuna ambaye hana, ni kuvumiliana tu!!
 
WOW! Why are you still in this the so called marriage? Run faster and RUN NOW. Move out ASAP before he kills you. You are very well educated but too slow to make decisions for your own welfare as well as those of your kids. This is not marriage.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…