Am I wrong if I process divorce?

Hizi weakness hazimfanyi mwanaume kuwa mjinga, zinamfanya azidi kumpenda na kum-love mkewe.

Taja zile ambazo ni toxic katika maisha ya ndoa! Usiseme huna coz hakuna ambaye hana, ni kuvumiliana tu!!
Hizi weakness zimekaa kama za kwenye CV zile πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… unajifagilia kwa mlango wa nyuma
 
Ndo kaniambia hajaolewa nikashangaa zaidiπŸ˜‚, anakuaje mama ushauri kwa kitu asichokifahamu
Dogo nilisema atulie kitaa kimkuze sasa maana degree ishaisha after 3 years tutaongea lugha moja πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Dogo nilisema atulie kitaa kimkuze sasa maana degree ishaisha after 3 years tutaongea lugha moja πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Tunamsubiri kwa hamu, atualike kwenye harusi Mimi na wewe tutaenda au sio best..
 
Ushauri wangu uta-base katika assumption MOJA, kwamba haya YOTE uliyoandika ni ukweli mtupu, huja-exagregate. Kama umeweka na chumvi na pilipili, basi huu ushauri unaweza usikufae sana; Kwa hiyo kama kawaida ya ushauri, uchanganye na za kwako.
1.Huyo mwanaume HAJAWAHI kukupenda kamwe.
2.Huyo mwanaume anakuona ni bonge moja la ZOBA, zumbukuku mzungu wa reli usiyeweza kuishi bila yeye.
3.Kama bado hujapata magonjwa ya ngono na/au UKIMWI, ni suala la muda tu kama ukiendelea kubaki hapo.
4.Tatizo halipo kwake, tatizo lipo KWAKO (yeah, read that again.)
5.Hao watoto ni wa kwako peke yako au ni wa kwako na wa kwake? (Read that between the lines, its a rhetorical question).
6.Divorce is not your priority for now (trust me, your life is more important, and you do not need a divorce to save your life)
7.Huyo comforter, tread very carefully. Wanaume huwa tunaweza ku-smell a woman who is not taken care well and use that just to "tap that ass".
8.Kuna waliosema wanabaki kwenye ndoa kwa ajili ya watoto, wakaishia kufa kwa UKIMWI na kuwaacha hao watoto (I know two of such), think critically on your decisions about that.
9.Hata ujinga una mwisho wake.
Rosiela
 
I damn thought of this, wanaume waliolelewa na single parents wanakuwaga bitter and careless sana! Huyo jamaa yako ni kijana wa kichagga bila shaka, prove me wrong!
🀣🀣🀣 nimecheka sana
 
Dah sio wote bana jamani huu upendo nilionao kweli niache kumspoil bebe mama kweli jamani 😍😍😍!

Kosa mnalofanyaga ni kumsimanga mtu akiwa hana. Anaweza akauchuna tu ila ikitokea siku kapiga mshindo lazma akulipizie nyie mnafikirigi yanaanziaga wapi yale. Lazima akunyooshe utambue uongozi hapo ndio mnarudigi na sound ooh nimemvumilia wakati hana leo kapata ni yeye tu na malaya zake huko mwanaume hashikiki! Kipindi ulimuona less of a man na kumuona hana lolote ndio kipindi ulitakiwa uwe na adabu ya hali ya juu.

Uli behave vipi kipindi ana dhiki? What was your behaviours binti masimango πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…! Umesahau ile mineno yako ya kishamba.
 
Songela wansegamila Dr.
Will screenshot this and read it daily before and after catching a sleep. Thank you
 
Ni issue it affects a lot of guys esp kama mama alikuwa superior than mshua anatengeneza hali ya dependency! Mtoto wa kiume anakuwa hana akili zaidi ya kuegama kwa mama kwa critical decisions zote!
sibishani kwani wapo kweli wa hivi lakini sio wote
 
Hizi weakness zimekaa kama za kwenye CV zile [emoji28][emoji28][emoji28] unajifagilia kwa mlango wa nyuma
Umeona mzee, yaani ni weakness gani hizo...huku ni kujifagilia wazi kabisa. Ateje toxic weaknesses tumpime kama jamaa ni mbuzi au yupo sahihi kudunda mtu kama ng'ombe (japo sio sawa kudunda mwenzako)
 
Umeona mzee, yaani ni weakness gani hizo...huku ni kujifagilia wazi kabisa. Ateje toxic weaknesses tumpime kama jamaa ni mbuzi au yupo sahihi kudunda mtu kama ng'ombe (japo sio sawa kudunda mwenzako)
Ngoja tuone zile ngumu kama atazisema
 
You need to ACT now before it’s too late. Yeah! read that master piece a billion times but at a different location.

Songela wansegamila Dr.
Will screenshot this and read it daily before and after catching a sleep. Thank you
 
I did what any mother would do..asiende shule mtoto? Sababu nashinda nae? Namkomoa mtoto..that was his level of stupidity I would say. Mtoto wangu hapaswi kuwa victim wa hili..at least not when am alive. Asiende shule kisa amegoma kulipa ada??
No no no my dear alikuwa anakutest huyo,mwanaume hawezi kusema mtoto asilipiwe ada,labda kama ni limbukeni wa mwisho.Ungemwambia mtoto wenu nyote ada lazima ilipwe na wazazi wote,kama alivyopandikiza mbegu atunze na matunda yake.We usingelipa tuone angefanyaje!Usiwe mwepesi kujitoa mahanga alikuwa anakujua huyo ndo maana aligoma.Ungeweka mgomo na wewe!!
Yaani wewe unaonekana mpole sana dah nakuonea huruma unavyoburuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…