Ushauri wangu uta-base katika assumption MOJA, kwamba haya YOTE uliyoandika ni ukweli mtupu, huja-exagregate. Kama umeweka na chumvi na pilipili, basi huu ushauri unaweza usikufae sana; Kwa hiyo kama kawaida ya ushauri, uchanganye na za kwako.
1.Huyo mwanaume HAJAWAHI kukupenda kamwe.
2.Huyo mwanaume anakuona ni bonge moja la ZOBA, zumbukuku mzungu wa reli usiyeweza kuishi bila yeye.
3.Kama bado hujapata magonjwa ya ngono na/au UKIMWI, ni suala la muda tu kama ukiendelea kubaki hapo.
4.Tatizo halipo kwake, tatizo lipo KWAKO (yeah, read that again.)
5.Hao watoto ni wa kwako peke yako au ni wa kwako na wa kwake? (Read that between the lines).
6.Divorce is not your priority for now (trust me, your life is more important, and you do not need a divorce to save your life)
7.Huyo comforter, trend very carefully. Wanaume huwa tunaweza ku-smell a woman who is not taken care well and use that just to "tap that ass".
8.Kuna waliosema wanabaki kwenye ndoa kwa ajili ya watoto, wakaishia kufa kwa UKIMWI na kuwaacha hao watoto (I know two of such), think critically on your decisions about that.
9.Hata ujinga una mwisho wake.
Rosiela