Am I wrong if I process divorce?

Hahahhahaaaa.

Nimejikuta naangua kicheko japo ni ya kuhuzunisha.

eti....."God fearing my foot!" [emoji1][emoji1]
 
Sasa unanizingua kabisa😄😄😄..lets close this chapter pls na ninaomba msaada kwa baada namba ya mwanasheria mzuri au mtu wa ustawi. Sijui wanaanziaga wapi.
 
Best hapo wanapokuota wanakuota wanakufanya nini? 😜😜😜

 

By being saint simaanishi Mt Maria Goreth somo wa jumuiya yetu.
Namaanisha ,reaaaaact.
Unajua the way you are being passive, Huyu mtu unamzoesha.
Anaona that's your default setting mpenzi wangu.
Haaachi.
Na hataacha.
 
Ukikasirika what do you do out of that adrenaline rush? Unaongea sana au unafoka ama inakuaje handling ya hizo hasira
 
By being saint simaanishi Mt Maria Goreth somo wa jumuiya yetu.
Namaanisha ,reaaaaact.
Unajua the way you are being passive, Huyu mtu unamzoesha.
Anaona that's your default setting mpenzi wangu.
Haaachi.
Na hataacha.
Ninaenda kuanza kubeba all needs and my kid..japo ananitishiaga hawezi kukaa mbali na mwanae hata mahakamani. Mimi siwezi kumuachia mtoto kwa ukisirani wake, haya mambo jamani
 
Ninaenda kuanza kubeba all needs and my kid..japo ananitishiaga hawezi kukaa mbali na mwanae hata mahakamani. Mimi siwezi kumuachia mtoto kwa ukisirani wake, haya mambo jamani
Haya mambo ni binadamu
Na binadamu ndo sisi
Na yanawezekana
Na sio wa kwanza wala hutakuwa wa mwisho.
 
My dear nakuelewa sana. Myself ni muhanga wa matukio kama hayo. Ila wangu hapigi ila he's never at home, hana time na mimi kabisa kila siku anarudi saa 6,7,8,9 usiku. No sex for 8 years now sio kwamba sitaki yeye ndio hataki. Mwanzoni i used to cry a lot lakini nimekuwa sugu. I dont ask tena simuulizi hata arudi asubuhi. I stoped buying chochote kwa nyumba. He buys everthing including hela ya petrol na ya kula kazini, Ila anafanya vyote but hakuna upendo kabisa. Hana cha Jumapili wala sikukuu akitoka kurudi ni very late hours. Nilidhani nikikaa kimya atabadilika ajiulize why i dont ask, kumbe mwenzangu ndio anachekelea uhuru wa manyani. Marriage life bila sex ndani ya nyumba pains a lot. Ana michepuko kila kona nilikoma kushika simu yake. Najenga nyumba he knows na hana hata interest ya kwenda kuangalia maendeleo.
 
Kevin Samuels tena....

Kwa sasa yeye si unajua ndio king wa hizi biashara za mahusiano,na dada yetu hapa katuletea mahusiano yamemkalia vibaya,nikafanya msaada wa kum-smuggle KS nikamleta hapa asaidie

Hahahaa
Yessir!

Hopefully she’s not average at best, or she’ll die alone inside a toxic marriage prison 😄.
 
Sijajua wanandoa mnawezaje kulala kitanda kimoja miezi minne hakuna salamu wala kuongeleshana wala (kutiana) pasipo kuwa labda mmoja anaumwa au kasafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…