ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hili ni gumu sana mkuu, 4 months mnaangaliana tu no fvking, no shyte na mnalala bee moja! Yaani huyo jamaa kama hana micheps basi he's wanking dunia isimame.Sijajua wanandoa mnawezaje kulala kitanda kimoja miezi minne hakuna salamu wala kuongeleshana wala (kutiana) pasipo kuwa labda mmoja anaumwa au kasafiri