Am I wrong if I process divorce?

Yaaan bora hata mseme nyie.
 
Ameeeeen.
 
Dah ni noma aisee mkuu, mie ndugu yangu ningemfata aisee nisingemuacha apigwege kiboya kwa sababu ambazo hazina msingi
Mjomba hawa ndugu zetu wakipenda huwa hawaelewi, alirudishwa home zaidi ya mara moja baada ya kutolewa wodini akipona kabisa anamkumbuka mwana huyo anatoroka anawaachia kimemo mezani msimtafute kaenda kwake mpaka yalipokuja kutokea hayo.
 
Aisee...wewe ni mtabiriiiiiiiii????😳😳😳😳😳 unajuaje yote haya?
Its psychology 101 kwa mtu ambae anafahamu psychology that is a straight case.
Sasa ungekuwa "komando" ungemfanya awe mdogo kama piritoni na yeye ndo awe anakupigia magoti kila siku. Sema ndo hivyo tena mtu mwenyewe Bikira Maria.
 
Kwahio mjuba itakuwa Tambo limefeli!?
Hili nalo linafikirisha sana yaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mjomba hawa ndugu zetu wakipenda huwa hawaelewi, alirudishwa home zaidi ya mara moja baada ya kutolewa wodini akipona kabisa anamkumbuka mwana huyo anatoroka anawaachia kimemo mezani msimtafute kaenda kwake mpaka yalipokuja kutokea hayo.
Dah kmmmk jamaa atakuwa alikuwa anamuweza by 100%
 
Aisee...wewe ni mtabiriiiiiiiii????😳😳😳😳😳 unajuaje yote haya?
Humu tatizo lako litajulikana hata kama ulificha vipengele! Kuna watu wa psychology pia πŸ˜…
 
Unaweza shauri divorce kumbe mwenzio kaandika tu kupunguza hasira Ila hana hata wazo la kutengana na mumewe....ushauri wa kuachana kama mtu anakatazwa kula ugali dagaa kirahisi ivo ni mgumu mnoooo
 
Kwahio mjuba itakuwa Tambo limefeli!?
Hili nalo linafikirisha sana yaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Bro, niamini mimi.
Yaani story ya hivi ni kati ya vitu vichache ninavyoweza kukuhakikishia kwa asilimia 80 kwamba jamaa ana shida kwenye kupiga pipe. Labda tu huyu mtoa mada awe ameongezea chumv za kwake mwenyewe.
Its sex psychology 101.
MWANAUME MALAYA ANATOMBA NDANI NA NJE....!! Mark that!!!
 
This makes alot of sense now! Sababu visirani vya namna hii sio kawaida ila ni upungufu wa nyege mapumbuni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Word!
 
Kwanza mimi bila kumt0mb@ kisawasawa lazima ataniuliza tu baba una tatizo mpenzi wangu? [emoji1] Raha ya kwanza ya kuwa na mke umtandike mboRlo hadi akuamkie shkamoo baba. Miezi minne unamkaushia tu mtoto wa watu sio fair kbs!
Jamaa Tambo bovu aisee! Sasa kaamua am bully mtoto wa watu kisa mtoto ni kisu duhπŸ˜…!!! Umeoa mke kisu halafu tambo limezingua dah kmmke walai!

Ila yale makitu si yanatibika, mke atakuwa kamuonea aibu kumchana ila jamaa nae kaona njia ni kumkwepa tu!
 
Waswahili wanasema kofi la mpenzi haliumi. Lakini kitendo cha kulazwa hilo sio kofi tena bali ni kipigo cha mbwa koko.
Jamani wanawake mpaka lini tutavumilia mateso. Wanawake wangapi wanauwawa na waume zao wewe huogopi?. Yani uko na kazi kwanini unaogopa maisha je usingekua nayo. Kutoka kwenye hiyo ndoa haimaanishi wewe sio mwanamke bora. Hata wakikusema wewe ndio unajua ukweli achana na jamii itanionaje. Kuliko kusubiria ugeuzwe mkaa au upigwe nondo ya kichwa ni bora ukajiondokea.
Lina aliimba bora nikimbie. Ebu kimbia shoga angu.
 
Je ni vyote vimeunganishwa na Mungu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…