Am I wrong if I process divorce?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nchi ngumu hii.
 
Kulazimisha ndoa mwshoe kupoteza uhai.
 
Umeolewa kumbe tayari?
 
IT IS OKEY SWEETHEART.
VERY MUCH OKEY.

BUT.
HATAKUACHA KIRAHISI.
NA WALA SIO KWA KUWA ANAKUPENDA,
KWA KUWA ANASIKIA RAHA UNAVYOLIA.

Sa skia.
SIO LAZIMA UJENGE NDO UMUACHE MTU!
Havina hata mahusiano.
Unahitaji utashi ndani yako, ujasiri akilini mwako, msimamo usoni pako, na nguvu mwili mwako.

Mengine yote yanawezekana.
A church wedding, chini ya mti wedding, synagogue wedding and all the likes.
Sio sababu wala kichaka cha kuteseka.

Ndoa pasi Huruma
Ndoa pasi Upendo
Ndoa pasi Ubinadamu
Ndoa pasi Faraja
Ndoa pasi Hisia
Hauna ndoa kipenzi, na haipo tu.

Na kingine,
Na a church wedding ni mpk kifo kiwatenganishe.
Hesabu miaka uliyonayo, say 33
Iwapo utabarikiwa miaka 60 ya kuishi
Una miaka 27 ya kuput up na hiyo insanity.

Uko tayari?
If no, KATAA KWA KUMAANISHA!!
 
Aisee😀😀😀
 
Kulazimisha ndoa mwshoe kupoteza uhai.
Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.

Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ndugu yangu alikuwa anavumilia hayo tukaongeaaa wee kanyaaa wee waaapi basi bwana tar za mwishoni mwezi wa 12 mwaka 2015 tukapigiwa simu tukachukue maiti ya ndugu yetu, tukazika na maisha yanaendelea. Story yake ikaishia hapo japo tunamkumbuka sana. Ndoa siyo kifungo kama inavyohubiliwa makanisani, upendo ukiisha kila mtu ashike hamsini zake.
 
Siku akirudishwa kwao kwenye jeneza utapiga vigelegele. Kama bado hujaolewa nakuombea upate janadume la hivyo
Una hakika gani atarudishwa kwao akiwa kwenye jeneza??
Wewe mtazamo wako ni huo,
Mimi mtazamo wangu ni Mungu atambadilisha.

Sijaolewa bado na Mungu atanipa wa kufanana naye,siyo huyo unayemtaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Run. ..run run...
Divorce or no divorce just run and run..

Why miaka yote unevumilia?

Mlikutana wapi kwanza??

So sad...just run na asijue unaishi wapi..

Ofisin waambie wakimuona wajue mmeshaachana agiza walinzi wampe kipigo cha kutosha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…