Am I wrong if I process divorce?

Nimezaliwa upyaa mwenzio niliondoka pasipo kusubiri ushauri wa wananzengo na Nina furaha kweli kweli, Sina Tena simanzi na manung'uniko kila kitu kinafunguka Yani, hakuna utajiri mkubwa kww maisha ya mwanadamu Kama Amani ya nafsi,,

Ondoka kabla hujakatishwa maisha yako.
 
Mkuu na wewe umeikimbia nyumba au nimeelewa tofauti?
 
1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)
Ngoja nianze na nukta hii,inakuwaje mtoto wa kike unaolewa na mlevi au unaendelea kuishi na mtu mlevi ? Hili ni kwa hali zake zote,awe mlevi hapigi mwanamke au mlevi kama huyo mumeo.

Walio sema mapenzi ni opofu wali kosea sana na kuwafanya watu wabweteke katika hili.

Nakuja kuendelea kutokea hapa.
 
Scratch your two nuts hizo ni pumbuu sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…